Home
Unlabelled
JK atoa changamoto kwa halmashauri ya jiji la dar kuelimisha wananchi juu ya mpango wa ujenzi wa mji mpya kigamboni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimependa Idea nzima ya kupost wanachosema wagombea naiomba globu ya jamii japo ipost za wagombea wengine hata 5 minutes inatosha. . .
ReplyDeleteHizi ni porojo za uchaguzi.Wakianza kupajenga wazaramo,wandengereko,wamakonde,wakwere watalizwa kama walivyolizwa ktk maeneo mengine ya Jiji.Hakuna cha kupewa sijui kiwanja kingine maeneo hayo wala nini.Walipokuwa wanajenga mbezi beach,Kunduchi beach,Boko,kijichi,Mikocheni walisema hivyo hivyo lakini angalia ni kina nani wanatesa maeneo hayo kama sio sisi wakuja.Anyway,Hayo ni makabila yanayoanzisha miji na wakuja tunajikita na kufaidi matunda yao.Viva Tanzania.
ReplyDelete1. mbona Serikali imeshindwa kuwalipa watuwanaopisha mradi wa mabasi yaendayo kwa kasi. Sasa hao wanaoondolewa huko vijibweni itakuwa ndio hivyo hivyo.
ReplyDelete2. Suala la mji wa kigamboni linashugulikiwa na wizara ya ardhi. Sasa waziri wa ardhi anaripoti kwa madiwani? Hivi wanainji wanruhusiwa kumwuliza maswali? Kama ndio basi turushie tusikie wananchi wanauliza maswali gani. Tatizo linaweza kuwa kwa wananchi wenyewe kama wameishapigwa chenga la macho
3. Mungu ibariki Tanzania na watu wake,epushia haya mazingaombwe
huna lolote wewe michuzi kibaraka tu wa ccm watu tunatoa comments zetu huzichapishi,huna lolote kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake ukweli ni kwamba inakuwaje raisi ashindwe kueleza mradi ulipo nchini kwake hapo kuna kitu anaficha...ukweli ni kwamba huna lolote michuzi uchapishe usichapishe ujumbe umekufikia utafanya hivi mpaka lini?kama ungekuwa hutaki watu waaandikie comments umepost hii video ya nini...alaaa
ReplyDelete