



Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nawapa mkono wa Eid Mubaraka kwa waislam wote popote walipo na pia kwa bin Adam wote wa dini zote na madhehebu yote.All of us who believe in one God, are on the same journey, we are just taking different routes.The events in Florida in America should have alerted us to the *smallness* of some human's mind and the hand of the prince of darkness. It reminds us that we should be tolerant to the intolerant, and its noble to disagree without physical conflict. Yarabi twaomba uongozi.
ReplyDeleteAgain EID MUBARAK TO YOU ALL
Wakatabahu
Kikwete kweli Kipenzi cha watu hasa hata kwa Nje mambo ya kichama, Inshallah mwenyezimungu atamfungulia ajue zaidi kuhusu dini.
ReplyDeleteHiyo salamu ya mzee ruksa na jk imetiafola. inaonyesha ukaribu na upendo mkubwa uliopo kati yao.
ReplyDeleteMichuzi, mbona hatuoni picha ya Dr Slaa akila Eid au japo kutoa salaam za Eid? Au kaenda kula eid na pastor Johns wa Florida? Michuzi ukibania hii nitakasirika maana viongozi wote lazima waonyeshe kutofungamana na dini wakati kama huu na nimeshangaa kutosikia au kuona picha ya Dr Slaa.
ReplyDeletemzee wetu ruksa mtoto wa mjini huyo tunampenda na tutaendelea kumpenda kwa yale aliyotufanyie baada ya kuichukua nchi ikiwa kavu kutoka kwa mwalimu na kuruhusu kila mwenye uwezo wa kuingiza kitu chochote kutoka nje aingize.
ReplyDeletemungu akujaalie uishi miaka mingi zaidi ameen.
Mkono wa Eid kwa waislamu wenzangu wote.Tumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutujalia kufunga na kufika siku hii Eid El Fitr.Back to Square One untill next year.
ReplyDeleteWaislamu tukae mkao wa kuleta amani duniani si vurugu.
ReplyDeleteDunua nzima inatuogopa kwa vurugu. Basi baada ya kumaliza mfungo mtukufu tubadirike: Tuachane na kujitoa mhanga maana wanakufa watoto, wazazi,wake na waume zetu.
Tulete amani dunia ishangae. Imefika wakati sasa kila muislam akiingia pahala watu wanaingia woga wanaona kana kwamba ataacha mabomu.
Dini ya Kiislam ni dini tukufu, waumini wake hatupaswi kuwa tishio, bali tuwe kimbilio.