katambuga za kisasa zikiwa zimevaliwa na mmoja wa wacheza ngoma ya kabila la ki-Iraqw kijiji cha dongobesh wilayani mbulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Wanaziita VX!

    ReplyDelete
  2. Zina aerial. Hizi kali

    ReplyDelete
  3. Umenileta karibu na nyumbani,lakini ingependeza kuona jinsi kundi nzima wanavyoruka juu na kuyarudi magoma ya Kiiraqw. Kama unayo angalau kipande cha movie hata cha dk 5 naomba unitumie.

    ReplyDelete
  4. Hao ndo wabunifu maarufu wa mitindo. sio yenu ya kuiga na kujirudia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...