taswira hii imefumwa na ankal kijiji kimoja wilayani kondoa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. SubhanAllah!
    WataUngua moto sana hayawani wanaotesa viumbe vya mungu hawa.

    ReplyDelete
  2. hildebrand shayoSeptember 20, 2010

    Ankol! do hii photo inanikumbusha hadithi tulizosoma miaka ya 70 kuhusu yule jamaa aliyebeba jogoo kichwa chini.... "any body with that book" Tujifunze kusoma i cant remember kilikuwa cha kwanza, pili au cha tatu?

    ReplyDelete
  3. RADICAL ODINGAAAAAAAAASeptember 20, 2010

    unyama ni kumchinja na kumla mnyama, ni ukatili mkubwa.Ndio maana tunapata magonjwa cholestrol, gout, pressure na kisukari.ACHA UNYAMA KWA WANYAMA. Ndio maana na sasa mmeanza kula paka.ULAFI

    ReplyDelete
  4. PAZI na JOGOO

    Jogoo aliyema, "Kichwa Chini, "Miguu Juu."

    ReplyDelete
  5. Ile hadithi ilikuwa ikiitwa PAZI NA JOGOO

    ReplyDelete
  6. HUU UKATIRIRI HUWA NAUSHUHUDIA SANA SOKONI, ILA SIJAFAHAMU VIZURI JE? KWA HAPA BONGO HIVI VITENDO VINASHITAKIKA?

    ReplyDelete
  7. Ankol Michuzi kwanza kabisa nashukuru kwa kutuwekea mada hii.

    Ukatili kama huo ni makosa chini ya Sheria ya Ustawi wa Wanyama Cap 154 na Kanuni zake za Usafirishaji za Mwaka 2010.

    Ukatili kama huo alioonyesha ni common na jamii yafanya pasipo kufahamu hivyo kuna haja ya Elimu kwa Umma.

    Mwisho kabisa nakupongeza na nakuomba uwe Mdau katika kuelimsha jamii juu ya kuacha ukatili kama huu.

    ReplyDelete
  8. Animal rights jamani.....

    ReplyDelete
  9. RADICAL Odingaa;

    Kuchinja na kumla mnyama sio unyama, binaAdam tumehalalishiwa kula baadhi ya wanyama na muumba wetu....kama ambavyo simba anavyokula baadhi ya wanyama....ni mfumo wa asili. Hata ukiangalia muundo wa meno ya binadamu utaona kuna meno yaliyochongoka (kufanana kiasi kama ya wanyama wanaokula wanyama) na haliyo flat kama wanyama walamboga (mimea). Kisichotakiwa ni kumtesa mnyama....anapochinjwa ipasavyo kama inavyotaka sheria ya kiyahudi ama kiislam, maumivu hupungua na si ya muda mrefu....tofauti na kumbana kuku na mipira ya manati.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...