Timu ya mkoa wa Kinondoni ya jijini Dar,ikiwa na kombe la ubingwa wa Taifa mara baada ya kuichabanga kwa mabao 15-10 timu ya mkoa wa Temeke katika fainali zilizomalizia jana katika hoteli ya Matongee Canival,jijiji Arusha jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. 'Timu ya mkoa wa Kinondoni' Hiki ni kiswahili gani tena??? Kinondoni ni MKOA????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...