JK akiwa ndani ya kivuko kipya kabisa cha mv pangani wakati akitok ng'ambo moja kwenda nyingine
kivuko cha mv pangani kikishusha abiria toka ng'ambo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kwanini pasijengwe daraja la kuunganisha hizo sehemu mbili kwani panaonekana ni pafupi hapo sio parefu kama kigamboni?

    ReplyDelete
  2. nyie akina Ras makunja mbona picha mnaitupia kisogo?au ndio mnatuonyeshea kofia zenu nyekundu

    ReplyDelete
  3. sijui kwaanini? akina ras makunja wanapenda sana kututisha ngojea uchaguzi wishe tuwatupia vijembe na vikofia vyenu

    ReplyDelete
  4. JAMANI HUWA NASIKIA TU ras makunja , ras makunja HUU MSEMO UNA MAANA NINI NA KWA NINI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...