




Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dahhhhh kiwanda kinaonekana morden kweli lazima technology za hali ya juu,hii inatishia usalama wa kazi yangu(testa),naona kutakuwa hakuna section ya kuonja tena,emung tuhurumie wenye skills hii.
ReplyDeleteSafi sana. Sasa tutakuwa tukizinywa fresh kutoka hapahapa Mbeya. Siyo kusubiri mpaka ziletwe kutoka Dar.
ReplyDeletetunajenga taifa la ulanzi tu.
ReplyDeleteI wish kingekuwa ni kwanda cha teknolojia, say: Kiwanda cha kutengeza 'electronic chips' kwa ajili ku-feed viwanda vinavyotengeneza vifaa vinavyotumia teknolojia ya electronic ..... wishful thinking...
ReplyDeletewewe unaye-wish ungekuwa na kiwanda cha technology si ukianzishe basi!
ReplyDeleteWe mwalafyale mwe! Nitaacha kwenda kwa mama John kule Mwanjelwa kunya kimpumu. Sasa beer fresh hapa hapa kwenye back yard yetu jijini MB.
ReplyDelete