Mtembelee Maalim Seif katika libeneke lake:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. libeneke linaonyesha nini kitafanyika, na hiyo ndio siasa, kuliko utumbo unaofanyika hivi sasa kunadi sura tu, kama fashion show, kipi kitafanyika ZERO....

    ReplyDelete
  2. nimeipenda sana website yake...mimi si mzanzibari,ila ningependa Maalim achukue urais na Shein awe makamu wa rais,zanzibar itapiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo.

    ReplyDelete
  3. Balozi sihamishi hoja ila ingekuwa Maalim Seif for Presidency 2010 naona ingekaa vizuri. No comments. Maalim na Dk Shein wote ndugu. At least this time Rais anatoka upande mwingine wa Kisiwa.

    ReplyDelete
  4. ahasante bwana michuzi kwa kutupa hii website ya maalim seif sharif hammad. na tunamtaka huyu bwana awe rais wa kule zanzibar, maana ankubalika saana. shukran

    ReplyDelete
  5. WEWE MTOA MAONI WA HAPO KWANZA HUNA MPYA, YAKO NI CHUKI BINAFSI! ACHA MAJUNGU YAKO NA UFANYE YA KWAKO MMBEBA BOKSI WEWE!

    ReplyDelete
  6. Hivi Kaka kila siku huwa najiuliza hivi MAALIM SEFU na JAJI MKUU AGUSTINO RAMADHANI wana UNDUGU flani?

    Mbona wanafanana sana?
    Nyie wenzangu hamlioni hilo?

    ReplyDelete
  7. huyu na mrema wote lao moja.

    ReplyDelete
  8. Anony Mon Sep 20, 04:44:00 PM, lawama za nini kwa mtoa maoni wa kwanza? Kakosea nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...