Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. NINA HAMU SANA YA KUHUDHURIA ILA SIJAFAHAMU KIINGILIO KIMEKAAJE MAANA WAMEANDIKA THS5,000 NA TSHS20,000 SIJAELEWA INAMAANISHA NINI.
    NIMEJIULIZA MASWALI YAFUATAYO:

    1. UKIWA PEKE YAKO NI 5,000 NA MKIWA KAPO NI 20,000?

    2. UKIKAA NYUMA NI 5,000 NA UKIKAA MBELE NI 20,000?

    3. UKIWA SIYO MTU MUHIMU 5,000 NA UKIWA MTU MUHIMU(VIP)20,000?

    4. UKIWAHI KABLA YA MILANGO KUFUNGWA NI 5,000 NA BAADA YA HAPO NI 20,000?

    NAWASILISHA KWA UFAFANUZI

    ReplyDelete
  2. nimeipenda sana hii inapendeza kuona matamasha ya Mungu pia yanafanyika sehemu nzuri na zenye hadhi kama hii safi sana Mungu awabariki sana

    ReplyDelete
  3. Tiketi za 20,000 ni kwa ajili ya nafasi za mbele na 5,000 ni kwa ajili ya nafasi za nyuma. Haijalishi kama ni mtoto au ni mtu mzima. Viingilio vilivyowekwa ni kwa ajili tu ya sadaka tu kwa Mungu kwasababu haitaweza kurudisha gharama ya ukumbi lakini tulipenda kila mtu abarikiwe kwa kutoa. Karibu sana

    ReplyDelete
  4. Anony wa kwanza, swali lako kuhusu tiketi ya kuingilia, jibu lako ni Na. 2 - ukikaa mbele elfu 20 na ukika nyuma elfu 5. Twendeni jamani tukamsifu na kumwabudu Mungu. Ni tukio adimu na la kihistoria katika ibada ya kusifu na kuabudu Tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...