Wachezaji wa Pool Safari Lager upande wa Wanawake,Shamira Mohamed kutoka Mwanza (kushoto) na Cecilia Kileo kutoka Kilimanjaro wakicheza wakati wa mashindano ya fainali za kitaifa zinazoendela mjini Arusha.Cecilia Kileo alishinda mchezo huo
Mchezaji wa Pool ,Betty Sanga kutoka Mbeya akicheza dhidi ya mpinzani wake Happy Gumbo kutoka Mbeya wakati wa fainari za Pool Safari Lager zinazoendelea mjini Arusha.Betty Sanga alishinda mchezo huo.
Mchezaji wa Pool,Majaliwa Haruna kutoka Mkoa wa Kinondoni akicheza dhidi ya mpinzani wake Khalid Ahamed kutoka Manyara wakati wa fainali za Pool Safari Lager upande wa mchezaji mmoja mmoja kuwakilisha mikoa yao.Masjaliwa Haruna alishinda mchezo huo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...