Mdhamni Mkuu wa Timu ya wanawake nchini (Twiga Stars) ambae ni Mkurugenzi wa Kamapuni ya utafiti wa mafuta na Madini RBP Oil, Rahma Al Kharoos akiwa na wachezaji wa Twiga muda mfupi baada ya kufutu nao katika eneo la kulia chakula la shirikisho la soka nchini(TFF) jana jioni.kulia ni Mwenyekiti wa chama cha soka cha wanawake (TWFA),Lina MhandoMdhamni Mkuu wa Timu ya wanawake nchini (Twiga Stars), Rahma Al Kharoos akikabidhi kifaa cha kufanyia mazoezi kwa walimu wa Twiga Stars, kifaa hicho kinasaidia kukaza misuli ya miguu na tumbo.kushoto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. MMH uthamini mwingine Bana tapu tupu! nao omba omba awajuhi kukataa kitu!!

    ReplyDelete
  2. Kwa wewe unayemponda huyo dada Rahma kwa chuki zako binafsi kwa udhamini wake angalau mwenzio mbali na kuwapa hicho kifaa cha mazoezi, kaipeleka hiyo timu Marekani kwa mechi za majaribio na kufanya mazeozi. Je wewe hater mjivuni umewapelekeani nini? Japo Bigijii tu huna ubavu wa kupeleka!

    Stop hating & grow up!

    ReplyDelete
  3. Jamani naomba kuuliza .. maana nimesikia tetesi ... Eti hii ndo nyumba ndogo ya mkuu wa kaya?

    ReplyDelete
  4. Hao watoto pesa yao wamelipwa???? .tena nasikia wewe Rahma umewacha solemba watu wa Seattle...

    ReplyDelete
  5. Sasa hiyo futari yenyewe iko wapi au ndio hiko kikombe kimoja. Huko kufuturu ndio watu huwa wanafuturu uchi hivyo jamani mbona hawa wachezaji hawana aibu? Kucheza mpira sio ndio kugeuka midume bora mama ungepelekea yatima pale Magomeni ungepata thawabu. umaarufu mwingine una tabu

    ReplyDelete
  6. mfadhili huyu kila akifanya kitu mpaka awekwe kwenye blog kwani nae huyu ni nani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...