Home
Unlabelled
mkutano wa JK bumbuli funika bovu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kama hakuna mpinzani sasa kampeni za nini?
ReplyDeletepalitosha sana tuu hadi juu ya miti
ReplyDeleteccm hureeeeee! wana ccm mpooooo? mwaka huu wapende wasipende ushindi ni wetu!
ReplyDeletenimekubali chichiemu chama kubwa. Na huyo dakitari anabatasamu tuu.
ReplyDeleteNafsi ziwasute tu kwa ushabiki usiolenga kuisaidia nchi.Tumuogope Mungu.Tuikomboe nchi kutoka kwenye mikono ya mafisadi tarehe 31.10.2010. Tuwapime wagombea kwa uwezo wao sio kwa umati wa watu unaosafirishwa kwa malori na mabasi wilaya moja hadi nyingine.
ReplyDeleteCCM ipo juu tatizo la vyama vya upinzani ni hasira sera wanamwaga kwa hasira. Hongera CCM. Kampeni ni lazima kwani JK anaomba kura anawapinzani
ReplyDelete"Tuwapime wagombea kwa uwezo wao sio kwa umati wa watu unaosafirishwa kwa malori na mabasi wilaya moja hadi nyingine."
ReplyDeleteKwani kwenye mikutano ya vyama vingine wanatembea kwa miguu kufuata kampeni? Si wote wanasafiri hivyo hivyo kutoka eneo moja kwenda lingine?
Pili ni kweli hata mikutano ya Chadema isipimwe kwa wingi wa watu pale Dr. Slaa anapoenda kwa helikopta maana ikishaondoka helikopta na watu wanasambaa zao weshaona helikopta basi imetosha.
PICHANI NAMUONA MWANAJESHI NYUMA YA KIKWETE, NAOMBA MNIJUZE JAMANI WANAJESHI WANAHUSIKA VIPI KWENYE SHUGHULI ZA VYAMA VYA SIASA? AU NIKUMSAIDIA HUYO MGOMBEA IKITOKEA LABDA ANAANGUKA KUTOKANA NA SABABU ZA KIAFYA
ReplyDeleteEhe Bwana eh CCM iko juu. Wewe Anony ulimsikia jana Slaa akiwaambia watu wa Mwanza kuwa ataleta treni itakayoenda kwa masaa matatu kutoka Mwanza hadi Dar ndani ya siku 100. !!Mamaa ama kweli huyu jamaa huo udaktari wake wa sheria za kanisa katoliki anajiona yeye mjanja sana. Kura yangu ni kwa JK na CCM
ReplyDeleteHuku afadhali watu hawajachoka sana kama shemu zengine za vijijin
ReplyDeletehuwa siamini uchawi, lakini hawa wananchi lazima watakuwa wamelogwa na ccm.
ReplyDelete