Nafasi ya kazi ya kuuza dukani-Boutique in Kinondoni area. Mdau wa New York anahitaji mtu muaminifu ambaye anaelewa masuala ya uuzajia, kazi ni kuuza na kuripoti kwangu na kwa meneja wako aliyeko hapo monday to friday, wkend ni makubaliano mengine. tafazali uwe mwaminifu, mtanashati, mwenye lugha nzuri kwa watu na mchapa kazi! Mimi ni bosi mzuri sitakusonga as long as u do ur job u will love working with me! Sijali umri wala jinsia.
wasiliana nami: subiraga5@yahoo.com
Thanxxxx.
wasiliana nami: subiraga5@yahoo.com
Thanxxxx.
Mimi Naitwa Sia namba ni +255657537842. Hapo zamani niliuza duka moja lililoko Sinza Dar es salaam sasa nilipumzika kutokana na sababu ya kifamilia. Tunaweza kuwasiliana kwa kupitia namba hiyo mimi ni mtu muaminifu sana,
ReplyDeletehili tangazo la kazi mbona lipo nusu nusu,wewe mwenye tangazo tuwekee muda wa kazi na sio siku za kazi tu..mfano 9am -5pm,na mshahara je? siku hizi utandawazi,weka na mshahara ili watu waangalie kama inalipa kuja kufanya kazi kwenye duka lako..
ReplyDeleteKila mbeba boksi anataka kufungua duka Dar.
ReplyDeleteanon wa Sep 05, 02:05:00AM labda ungefafanua unamaanisha nini maana haya ndio maendeleo tuliyokuwa tunayakosa miaka nenda rudi ya wabeba maboksi wazoefu kama wewe mliojisahau sasa mkaota mpaka mvi za ndevu, na sehemu nyingine mmebakia makaratasi tuu..KUKUMBUKA NYUMBANI NA KUWEKEZA JAPO KIDOGO NDIO MWANZO HNGERA MUHUSIKA NA WENGINE MSICHOKE
ReplyDeleteHuyo Meneja wako haitajiki hapo. Anafanya nini? Au ni ndugu yako?
ReplyDeleteNakuambia wewe ndugu wewe hesabu huna kitu, kwani utaliwa wewe na utabaki unalia tu, kama mguu wako haupo hapo kila siku sahau, hakna cha menager wala mfanyakazi. Naanza kukupa pole kabla mambo hayajakuahribikia. Huyo unaefikiria upo ukerewe unamuacha akufanyie kazi ni mwizi tu. Fanya kitu ambacho huhitaji mtu meingine wa kukiangalia kila dakika.
ReplyDeletebiashara kama mwenyewe haupo ni utaliwa tu. mimi yalinikuta,nimeamua bora nijenge tu,kwani nyumba ni asset nzuri kuliko biashara ambayo mwenyewe sipo.
ReplyDeleteSubiraga, naomba wasiliana na 0788 243201 au 0754 243201 au 0715 243201 mama huyu yupo tayari kwa kibarua. mimi ninaweza kumdhamini kama utahitaji.
ReplyDeletena wewe sio kiongozi mzuri na unatishia maisha kwakweli..huwezi jiita "BOSS MZURI" ili ni neno la mapompasi siku izi tunasema "A GOOD LEADER"...tushaachana na maswala ya mtukufu fulani na tunataka kulitoa neno muheshimiwa now wote waitwe "bwana au bi fulani"
ReplyDeletekhabari ndo iyo