Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete (aliyevaa skafu) akikagua gwaride la vijana wa CCM, baada ya kulakiwa eneo la Ngunichile akitokea kufanya kampeni za ndani Liwale kwenda Nachingwea mkoani Lindi, ambapo katika mkoa huo amefanya mikutano ya kuweka mikakati ya ushindi wa chama hicho.
Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete akiwahutubia Wanachama na wafuasi wa chama hicho, wakati wa mapokezi eneo la Ngunichile akitokea kufanya kampeni za ndani Liwale kwenda Nachingwea mkoani Lindi, ambapo katika mkoa huo amefanyamikutano ya kuweka mikakati ya ushindi wachama hicho.
Mgombea ubunge Jimbo la Liwale kupitia CCM, Faith Mitambo akijinadi katika mkutano huo huo uliohutubiwa na Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete, mjini Liwale.
Baadhi ya wanachama na wafuasi wa CCM wakisikiliza kwa makaini wakati Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete ,wakati akiwahutubia mjini Liwale
Sehemu ya umati wa wanachama wa CCM,ukishangilia wakati Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete akihutubia katika mkutano wa ndani wa kampeni mjini Liwale

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Baba,Mama!,Mwana!!subirini kidogo tu mtaona na wajukuu.

    ReplyDelete
  2. nimepeleka post yangu kabla ya hii ya huyo wa september 17; 01:43:00 pm lakini umenisetiri.....haya labda unaomba uwaziri kwenye serikali ijayo....sijui

    ReplyDelete
  3. Royal family

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...