Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Saida Karoli kiboko yao kwa Sauti na Kuimba yeye na Lady jaydee Nukta kishwa stori.

    ReplyDelete
  2. Safi sana dada Sauda, hongera zako. Hivi aityunz siku hizi inakubali tranzsaksheni kutoka bongo au bado ni for US and European market?

    ReplyDelete
  3. Wu unayeuliza kuwa Itune inapatikana Tanzania siku hizi hivi unadhania hao waimbaji kila siku wakienda huko juu kuperform wanaenda kuuza sura tu?...Huko ndio kuna soko kma huelewi...Wakuiuza show moja ni kama show 3 Tanzania..Wee kaa hapo hapo wenzako wanatangulia global market muhimu siku hizi..Kama akieka huko kwenye Itune akipata watu 10000 wakinunua anashida gani.....

    ReplyDelete
  4. Mbona wanamusic wengine wa bongo hawaweki nyimbo zao pia kwenye Itune jamani..?????

    ReplyDelete
  5. HONGERA SANA SAUDA. I HOPE UTAKUJA AMERICA. MARAFIKI ZANGU AMBAO WAME KUSIKILIZA WAMEIPENDA SANA SAUTI YAKO. MICHUZI ASANTE SANA KWA KUWATANGAZA WAIMBAJI WA TANZANIA.

    ReplyDelete
  6. Swali langu linabaki palepale, can I buy from iTunes nikiwa Tanzania au bado inakataa?

    ReplyDelete
  7. ndugu yangu hapo mwanzo,sio saida karoli,ndugu yangu bado wa zamani,karoli yuko bukoba huko leo hii akaingize nyimbo ktk i tunes,kwanza sidhani hata kama inaimba siku hiz.ni jins gani game ya bongo ilivyombaya.kwa kukusaidia huyo anaitwa sauda simba kilumanga alishawahi kuwa mtangazaji.pole sana

    ReplyDelete
  8. Where to buy SAUTI YA SAUDA

    All NOVEL IDEA BOOKSTORES in Tanzania:
    Dar es Salaam
    -Steers on Samora/Ohio
    -Slipway
    -Shoppers Plaza, Mikocheni
    -Seacliff Village
    Iringa
    -Main street
    Arusha
    -Shoprite compound

    Elsewhere in the world, you can get it online at iTunes and Womad Shop

    Other CDs distributed by Trinity Pro-Motions Ltd and available at A Novel Idea shops are:
    -Mandugu Digital Volume I
    -Amka, by Kama (Kalamashaka)
    -Tuimbe Pamoja - Swahili4kids, kiswahili songs for kids

    ReplyDelete
  9. Kwa kuongezea huyo ni binti wa Iddi Simba yule aliyawahi kuwa Waziri wa Kilimo na Chakula, kipindi kile sukari ilipokuwa hadimu. Hivi ni kweli Saida Kaloli yuko Bk? Maana siku hizi hata kwenye 'RTD' hasikiki.


    Nkyabo - Bongo

    ReplyDelete
  10. Sijasema huyo kama ni Saida Karoli nimesema katika sauti za kuimba Saida karoli na Lady jaydee ndio kiboko zao wanawake. pole yako wewe subiri dripu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...