Mkurugenzi wa kijiji cha kulea watoto waishio katika mazingira ma gumu (SOS CHILDREN'S VILLAGES TANZANIA) Dr. Alex Lengeju akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari namna ya uendeshaji wa kijiji hicho.kulia ni Meneja wa Shear Illusions,Susan Miseda.
Meneja wa Shear Illusions,Susan Miseda akitoa taarifa ya ujio wa msanii mahiri katika miondoko ya Salsa, Joush Tasia Rhumba kutoka nchini Ireland kwa waandishi wa habari waliofika katika ukumbi wa mikutano wa Paradise Hoteli.Msanii huyo atawasili hapa nchini kwa ajili ya shoo moja itakayofanyika tarehe 2,oktoba katika hoteli ya Hilton,jijini Dar.kushoto ni Mkurugenzi wa Kijiji cha SOS CHILDREN'S TANZANIA,Dr. Alex Victor Lengeju.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hii itakuwa burudani ya ukweli. Tupeni details za kutosha tujiandae kwa mapana ili tuhuthurie kwa wingi.

    ReplyDelete
  2. MKALI WA SALSA IRELAND!!!????? MHH HII KALI, IMEKAA KAMA VILE MKALI WA BOLINGO/MAYENU KUTOKA CHINA........!!!

    ReplyDelete
  3. Brother.

    Naungana na Mdau mmoja hapo juu.
    Ili kutupa burudani original na ya Uhakika nilidhani wangetuletea Mkali wa Salasa toka Latin America au Cuba vile.

    Sasa hiki kinachofanyika ni kama kutuletea Mkali wa MDUMANGE toka MTWARA!

    Anyway. Something is better than nothing. Asanteni. Tutakuja

    ReplyDelete
  4. Shear illusion?

    ReplyDelete
  5. Salsa dancer from Ireland and tap dancer form cuba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...