Balozi wa China nchini Tanzania Liu Xinsheng (kulia)akihutubia wakati wa sherehe fupi ya utoaji wa tuzo kwa washindi wa chemsha bongo kuhusu miaka 45 ya uhusiano wa kibalozi kati ya Tanzania na China leo jijini Dar. Kushoto ni Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio China ya Kimataifa (CRI). Shindano hilo liliendeshwa kwa ushirikiano wa Radio China Kimataifa(CRI) , Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) , Sauti ya Tanzania Zanzibar (STZ).
Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Clement Mshana (kulia) akihutubia wakati wa sherehe fupi ya utoaji wa tuzo kwa washindi wa chemsha bongo kuhusu miaka 45 ya uhusiano wa kibalozi kati ya Tanzania na China leo jijini Dar. Kushoto ni Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio China ya Kimataifa (CRI). Shindano hilo liliendeshwa kwa ushirikiano wa Radio China Kimataifa(CRI) , Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) , Sauti ya Tanzania Zanzibar (STZ).
Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Tido Mhando akimpatia jana jijini Dar es salaam mmoja wa washindi wa tuzo ya shindano la chemsha bongo kuhusu miaka 45 ya uhusiano wa kibalozi kati ya Tanzania na China , Bwana Adison Gamba(kulia). Shindano hilo liliendeshwa kwa ushirikiano wa Radio China Kimataifa(CRI) , Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) , Sauti ya Tanzania Zanzibar (STZ).
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO),Clement Mshana(kushoto) akibadilishana na Mkurugenzi wa Radio China Kimataifa (CRI) makao makuu ya Afrika,Ding Bangying (kulia),Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando ( wa pili kushoto) na Mshauri wa masuala ya Utamaduni katika Ubalozi wa China nchini Liu Dong (kulia) leo jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi za utaji wa tuzo za shindano la chemsha bongo kuhusu miaka 45 ya uhusiano wa kibalozi kati ya Tanzania na China .Shindano hilo liliendeshwa kwa ushirikiano wa Radio China Kimataifa(CRI) , Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) , Sauti ya Tanzania Zanzibar (STZ).Picha na Tiganya Vincent

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. washindi wa shemsha bongo?

    ReplyDelete
  2. Kifimbo ChezaSeptember 22, 2010

    """sherehe za utoaji tuzo kwa washindi wa shemsha bongo ya uhusiano wa kibalozi katika ya Tanzania na China leo"""""

    Ni shemsha bongo au chemsha bongo

    ReplyDelete
  3. Jamani Wachina wajanja ,kuweni makini na vizawadi hivyo Eee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...