
TAARIFA INATOLEWA KWA MASIKITIKO MAKUBWA SANA KUWA NDG.OMARY J. MSOKE ALIEKUWA MTUMISHI WA WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI MAKAO MAKUU,UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM.
AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO TAREHE 09/09/2010 KWA AJALI YA GARI ILIYOTOKEA ENEO LA MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM.
MSIBA UPO KIMARA/STOP OVER KWA MINJA,NYUMBANI KWA BABA YAKE MZAZI.
MWILI WA MAREHEMU UTASAFIRISHWA KESHO TAREHE 10/09/2010 SAA 09:00 JIONI KWENDA KIJIJINI KWAO LUSANGA,MUHEZA MKOANI TANGA KWA MAZISHI.
TUNAMUOMBEA KWA MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU NDUGU YETU OMARY MSOKE MAHALI PEMA PEPONI.
-AMIN
R.I.P Ommy,masikitiko makubwa sana you were so young to leave, we will b missing you.
ReplyDeleteInalillah wa ina rajun, mwenyezi mungu amjaalie amsamehe makosa yake na amlaze mahala pema peponi amin, wafiwa nawapa pole zangu za dhati na mwenyezi mungu awapeni nguvu na stahamala ya mioyo katika wakati huu wa kuondokewa na kipenzi chenu amin, yeye katangulia mbele ya haki na sisi tunamfuata wakati wowote ule, mungu atustiri tuwe wacha mungu bila kuzingaria umri tulionao kwani hapa tunamuona huyu mwenzetu kijana mdogo sana leo hatukonae tena, tulianza nae katika kufunga mwezi huu mtukufu wa ramadhani na leo hatuli nae Eid el mubarak sasa hapa utaona kuwa vipi tujitayarishe jamani na UMAUTI kwani tunatembea nayo wala tusijione kuvuta pumzi tukajigamba hii dunia tunapita tu, mungu amlaze pema amin mwenzetu OMAR
ReplyDeleteWATANZANIA WENZENGU FUNGENI MIKANDA(BUCKLE UP YOUR SEAT BELTS) WHILE BEHIND THE WHEEL.FOR MY EXPERIENCE WENGI WETU WAHAFUNGI MIKANDA WHILE DRIVING AND THIS IS REALLY RISK DEAR DRIVERS,HALAFU MKINYWA POMBE ACHENI KUENDESHA MAGARI,LET SOMEONE DRIVES YOU WHEN YOU GET DRUNK OR CALL A TAXI,CHANCES ARE OVERWHELIMINGLY ODDS WHEN YOU DRIVES WHILE DRUNK,OTHERWISE TUTAENDELEA KUSEMA R.I.P KILA SIKU KWA VIJANA WADOGO KAMA HUYU HAPA
ReplyDeletethis guy is a young cheeck my goodness!!!! ajali, ajali, ajali, ajali jamaniiiiiiii. MUNGU TUHURUMIE BABA YETU.
ReplyDeleteRIP omary. Mungu ametoa na Mungu ametoa jina la bwana libarikiwe. Poleni ndugu wa marehemu. He look very young.
ReplyDeleteVery young indeed. May the Lord bless his family during this difficult time and give them peace. RIP
ReplyDeleteI will always pray for you my brother,we all miss you!!
ReplyDelete