

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wape salam zetu wajumbe wa mkutano huo baina ya Tanzania na Malawi.Mimi binafsi nawaombea kila la kheri na mafanikio katika kazi na kila mmoja wao binafsi. Ombi langu ni kwamba wakati umefika tuanze kukataa kuendelea na makombo ya ukoloni,Tanzania could be a state and Malawi another state in United African States. It was a dream of our political fathers and as students we dreamt that once we all break the chains of colonial slavery we would embrace our brothers and sisters and sing "FREE AT LAST"
ReplyDeleteWakatabahu
wameongelea nini? mbona ni kama photo opportunity and publicity tu!!
ReplyDeleteEnhe, kwa hiyo mpaka upo katikati ya ziwa (kama ilivyo Mozambique) au kando kando ya ziwa upande wa Tanzania (kwa hiyo mtu akitoka Mbamba Bay, Liuli, Ludewa etc kwenda kuvua immediately atakuwa amevuka mipaka ya nchi na anafanya illegal fishing in Malawi? What crap!)
ReplyDelete