Home
Unlabelled
toyota cresta inauzwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NIMEIPENDA GARI ILA MI NAHITAJI TU HIZO REAM ZA MATAIRI MBILI MAANA GARI YANGU ILIIBIWA REAM ZINAZOFANANA NA HIZO. UNIPIGIE KUPITIA 0767-345678/MSONGORA ISSA
ReplyDeleteMbona namba haipatikani? Nimepiga ssa hivi saa 7kamili mchana huu hupatikani. Utafanyaje biashara sasa?
ReplyDeleteBwana Michuzi uwe unaangalia vitu vingine kabla ya ku-post. Hii gari inaonekana ipo kwenye yard Japan na ina namba za usajili za Japan lakini namba ya simu ya muuzaji inaonyesha yupo Tanzania. Tueleweje?
ReplyDeleteNINA MILIONI 3 cash. WASILIANA NAMI UKITUMIA NO HII 0755 095 301
ReplyDeleteHivi biashara za kitz zote ni machinga? make nenda rudi kutaja bei huo haipo hiyo
ReplyDeleteAnony wa Wed Sep 08, 12:51:00 PM, hili gari lina rim ambazo ni standard, siyo alloy wheels, ambazo Tanzania tunaziita sports rims. Hizo zinazoonekana kama alloy wheels ni wheel caps, tena za plastiki.
ReplyDeleteGari nzuri,rangi nzuri ..lakini naogopa mlimani city--watanichukulia tena..kwani siku hizi RAV4 na GX 100 ndio zipo sokoni sana
ReplyDeleteChaos