Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Golikipa hakuna kitu hapo kwa mpango huu sijui kama tutafika tuendako...
    Tuombe Kaseja apone haraka

    ReplyDelete
  2. I BET YOU GUYS, "KASEJA ERA" IS ON FIRE. I DOUBT IF HE WILL BE BACK AS NO. 1 GK OF THIS TEAM.

    ReplyDelete
  3. Watu ambao hawaja cheza mpira utawajua tu, sasa una-mlaumu kipa kafanya nini? ndio maana huo unaitwa mpira wa miguu, haya ni magoli ya kawaida sana na hata makiba bora Duniani wamefungwa magoli kama haya, ni goli la kimpira labda ndugu yangu uwe hata ligi ya mbuzi hujacheza,kwa taarifa yako hilo ni goli la kawaida sana na kama unabisha ingia Youtube uone kina Casilas, Bufon, Dida, na hata huyo kaseja wako amesha fungwa magoli ya hivyo, hatutaki fitina hapa tena za sijui angekuwa nani ingekuwa hivi, vijana wamepigana kufa mtu, na tushukuru kwa matokeo hayo, ni kweli tunataka ushindi lakini hata wao pia walikuwa wanataka ushindi, tupunguze midomo na fitina, ili tuweze kuendelea, mambo ya sijui angekuwa nani hatuyataki, yeyote anayecheza Taifa Stars ana tuwakilisha watanzania....jifunze mpira wewe, ndo tatizo ya nyinyi mnaoshabikia mpira ukubwani tena kufuata mkumbo wa ligi ya Uingereza!nakuzungumzia wewe Anonymous wa Sun Sep 5, 12oq:00AM. Mchezaji wa Zamani wa Cha-ndimu, Magomeni Mtambani, Garden, Uwanja wa Barafu Makuti, na Mburahati uwanja wa Santos, kudadadekiiii

    ReplyDelete
  4. WE definetely need a goal keeping coach, he was terrible on this occasion, but no body denied his talent, but HE CANN'T READ THE GAME, PERIOD!!

    ReplyDelete
  5. golikipa boya kabisa hata mimi siwezi fungwa goal la mbali hivyo!! awa watakuwa ndo kati ya magolikipa wa maximo!! plus hao waarabu mmewaotea kwa sababu walikuwa kwenye saumu tu !

    ReplyDelete
  6. WE UNASEMA WASIOCHEZA MPIRA UTAWAJUA WEWE UMECHEZA WAPI.SIO GOLI TU KIPA HAMNA KITU ANGALIA MAGOLI WALIOTUKOSA KAMA WANGEKUWA MAKINI TUNGE PIGWA 4,KIPA BADO AJAKOMAA HANA TIMING ANARUKARUKA NA KUDAIVU BILA MPANGO UKWELI SIJUI HALI YA KASEJA ILA TUNAITAJI KIPA MBADALA TUMEONA MAKIPA WENGI WAZURI WA TANZANIA MIAKA YA NYUMA ALL THE TIME GOALKEEPER,ELIAS MICHAEL(NYOKA),HASSANI MLAPAKOLO,ATHUMANI MAMBOSASA,OMARI MAHADHI,PATRICK NYAGA,JUMA PONDAMALI(MENSAH)ALLY BUSHIRI,MOHAMEDI MWAMEJA,HAMISI KINYE,JOSEPH FUNGO,MOSES MKANDAWIRE,ISEGA ISINDANI(MZEE WA SARAKASI),MUHIDINI ISSA MICHUZI(JUGNU MEHU)ATA WANGETOKA USINGIZINI BAO HILO WANGECHEZA,ILA VIJANA WANASTAHILI SIFA KWA KAZI KUBWA NA NZURI WALIOFANYA

    ReplyDelete
  7. kipa sio tatizo.nilichokiona ni typical african football.mtu anapoteza mpira anatembea badalaya ya kurudi nyuma haraka(drop back) ku cover gaps.
    Pili timu yetu bado mildfielders wana kaba (mark man to man) mtu badala ya kucover gaps.Na hii ndio imempa jamaa space ya kusawazisha.
    Ila siombaya ukilinganisha na huko tulikotoka.

    ReplyDelete
  8. hivi Mohammed Mwameja na Stephen Nemes wako wapi???hata hawasikiki, kweli bongo tenda wema nenda zako...hawakumbukwi kabisa katika ramani!!

    ReplyDelete
  9. Nyie mnao mlaumu kipa mi sioni kosa lake pale na kama hamjui golikipa wetu ndo alichaguliwa mchezaji bora wa mchezo...mbona dida alifungwa na eto' goli kama hilo kwenye confederations cup..tena ilikuwa mbali zaidi ya hapo..

    ReplyDelete
  10. je algeria wanae golkeepr? nyie kweli hamjui mpira sasa hapo wakulaumiwa ni Kipa au mabeki,hebu angalia mpira ulivotolewa pasi mtu katoka kati kati ya uwanja anaomba pasi kwa kuwa kuna nafasi hata mtoto wa darasa la pili angefunga,nafasi yote ameachiwa wachezaji wa stars wapo wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...