Home
Unlabelled
wadau wa mji wa kusoma walivyopata swala ya eid
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
reading inatakiwa inasomeke au itamkwe REDING na siyo kama ilivyoandikwa... ikitamkwa kama ni mji wa kusoma ni makosa!
ReplyDeleteHongereni Reading naona Eid yenu ilifana vizuri na Mungu awazidishie kila la kheri kwa kutoa ujumbe huu wa Eid kwa Wasislamu na watu wote duniani.
ReplyDeletewanawake wako wapi?
ReplyDeletemashalau huyo kaka wa mwisho ndani ya gari mzuri jamani mamayangu kama prince wa kiarabu mashalau kama umeowa mkeo anajinoma mmh mkeo abarikiwe na kama hujaowa basi utakae muowa kabahatika mashalaaallah!
ReplyDeleteTunajua kwamba Reading inatamkwa "REDING" na siyo "RIDING" lakini wenyewe wameamua kutafsiri moja kwa moja.
ReplyDelete