Home
Unlabelled
washiriki wa vodacom miss tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du, Ankal umebania picha ya hii posting... Haidhuru. I will share with u guys my ushuuda. Last saturday nilikwenda kambini kwa "ma miss hawa" watarajiwa- Girraffe Hotel for "pre-view" before i part with my 100,000 next saturday. It was around dinner time and i positioned my self at the far corner of the bar counter- so, nikawa napata view nzuri (close) ya "ma miss" wakati wanajipakulia msosi. Jirani yangu, alikuwa jamaa mmoja ambaye aliniambia kuwa ni Mkenya. To cut hadithi hii ndefu kuwa fupi, mkenya akaniuliza "hawa ndio washiriki wa miss TZ ?", NIKAMKUBALIA. Akasema "this is serious joke, there is no miss here. Am disspointed, confused & frustrated. If this happened in Kenya, then, mapanga shaa". Poleni in advance wale wote watakao kwenda kufisadiwa pale mlimani city....
ReplyDeleteGlorry wa Arusha huyo Kaka!
ReplyDeleteHuo mkenya asitake kutuzingua.Mademu wa kibongo bomba kuliko waKikenya. Nimekwenda sana huko sikuona cha kutisha!
ReplyDeleteHayo maneno ya uzushi ya kutaka kuharibu biashara ya watu.Mademu wa mwaka ni huu bomba sana. Hebu jamani angalieni demu anayetoka Temeke na huyo wa Shinyanga ni moto wa kuotea mbali ukilinganisha na warembo wa mwaka jana na mwaka juzi. Na imani tutapata Miss bomba mwaka huu
ReplyDeletehata mie namshangaa huyo mkenya, mamiss wa kikenya sura chachu kama zimekamuliwa ndimu....mmxxxxx
ReplyDeleteukweli hao mamiss sio wazuri achen kuwapa moyo,mamiss utafikiri wanakaangwa juani.mi nadhani tushabikie vitu vingine na siyo hao wasio na maadili kazi kuuza uchi
ReplyDeleteukweli hao mamiss sio wazuri achen kuwapa moyo,mamiss utafikiri wanakaangwa juani.mi nadhani tushabikie vitu vingine na siyo hao wasio na maadili kazi kuuza uchi
ReplyDeleteAcheni ku hate ninyi. Mabinti wa watu wanatafuta kula/kulipwa, kama ninyi mnavyolipwa kwa kazi zenu. Si bora hawa watalipwa clean money kuliko wale wanaotembea Ohio street and kule kinondoni au popote pale Dar. Kama wewe unalipwa kwa kubeba box U.K. au popote duniani, hawa mabinti wanalipwa kwa kupata contract za modelling au endorsement za tv commercials. Acheni chuki/wivu ninyi. Be positive. This is new world/different time.
ReplyDelete