

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MAMA WA KICHAGGA HONGERA SANA KWA KAZI YAKO NZURI ULIYOIFANYA UINGEREZA. WE ARE LOOKING FORWARD KUKUONA UNAENDELEA KUIWAKILISHA TANZANIA VIZURI. MUNGU AKULINDE AKUPE AFYA NZURI NA MAISHA MAREFU.
ReplyDeleteobama na balozi wetu wamefanana. balozi wetu amependeza kweli. huyu mama ni beautiful, anajua kujipamba na anavaa vizuri sana.
ReplyDeleteKaribu Amerika, Mama Balozi.
ReplyDeleteMdau Atlanta.
Beautiful moment caught on camera..!
ReplyDeleteCCM oyeeeeee OBAMA ahsante kwa kuitambua CCM kuwa ndiyo chama pekee bora Afrika nzima..
ReplyDeleteCCM oyeeeeee OBAMA ahsante kwa kuitambua CCM kuwa ndiyo chama pekee bora Afrika nzima..
ReplyDeleteyaani hawaonyeshi kama wana mjukuu haswa mumewe. kwa kweli nimefurahishwa sana na mheshimiwa maajar manake anatupa moyo sie wanawake kujiendeleza zaidi licha ya kwamba kuwa kiongozi ni ngumu na pia namwonea wivu mjukuu manake hata yeye kafanikiwa kumwona kaka obama tetete
ReplyDeleteMdau wa pili hapo juu umeniwahi, ni kweli kabisa balozi majaar anafanana sana na obama, utadhani mtu na sister wake.
ReplyDeleteMungu atusaidie tuwe na mabalozi kama wewe hamsini; kazi unayoifanya inatupa matumaini kwamba nchini mwetu kuna wazalendo wa kweli.
ReplyDeleteWanameremeta!
ReplyDeleteBaba na Mama Maajar, kwa kweli tuna wamiss sana, tunazidi kuwaombea kwa Mungu hata huko mlikokwenda mkaendeleze kazi nzuri kama ambayo mmeifanya hapa UK. Mungu azidi kuwabariki pamoja na familia yenu. Tunawapenda sana.
ReplyDeleteWote hamjui kufananisha, wiki mbili zilizopita nilikuwa naelekea Tanzania nikiwa terminal 5 heathrow airport mule ndani tunasubiria kile kitrain kitupeleke kwenye gate letu kaja mama kasimama mbele yangu kumcheki nikasema Mama shikamoo kageuka kaniitikia,hapo mimi najua ni Mama Balozi kumwangalia vizuri kumbe ni MRS MANDELA, MAMA GRACIER MACHELL na kaitikia kabisa marahaba hujambo?. Nilistuka nikasema haiwezekani yuko mwenyewe haikupita mda bodyguard huyo na nahisi walikuwa zaidi ya mmoja. Michuzi weka picha ya balozi na mrs madiba ili wadau wajue naongelea nini, yaani ni mtu na dadake kabisaaaa!
ReplyDeleteShemeji Balozi wetu marekani, hongera sana kwa kumshirikisha mjukuu wetu kwenye sherehe ya kujitambulisha kwa rais wa marekani. Hapa Norway sisi pamoja na dada yetu H. tumefurahi sana na kujisikia PROUD ya wewe na mmeo na mjukuu wenu kuingia White House. Hongera sana shemeji.
ReplyDelete