Tupate Burudani kamili kutoka kwao "The Ngoma Africa Band" aka FFU,
wakati tunahesabu masaa kuelekea katika siku ya 31-Oktoba-2010
Siku ambayo watanzania tutapiga kura!
Patapata muziki huu mtamu na ujumbe maalumu kwa watanzania wote kutoka kwa "Ngoma Africa band" yenye maskani
yao nchini Ujerumani
ffu aka watoto mbwa,aka ngoma afrika,kazi yenu inakubalika duniani kote mziki na ujumbe wenu umeenda shule,JK hana mpinzani
ReplyDeletewakuu wa kupiga kwata...nyinyi ndio mlianza na gubu na sasa mnamalizia na gwaride ktk kuelekea ktk uchaguzi..mwaka huu umetufungua macho wengi
ReplyDeletehi!!!!!!!wazee wa kutuliza ghasia ffu huu mziki wenu umetulia tena wa kiutu uzima,na ujumbe wenu umesikika nani?kama JK !hakuna,tena mziki wenu unanikuna sana sana.
ReplyDeletemzee wa Ilala
mlifungua dimba na sasa mnafunga kazi,ffu zogo mnalimudu
ReplyDeleteinamaana kamanda ras makunja bado umekomaa kichwa tu?ujakoma bado na tabia yako ya kuwanyima raha baadhi ya watu?
ReplyDeleteFFU TUPO PAMOJA NANYI JK OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!! JK2010 MZIKI MKUBWA
ReplyDeleteffu wazee wa kukaanga mbuyu iki kitu kimetulia kisawa sawa
ReplyDeleteffu najua amnyamazi mpaka kieleweke hapa...
ReplyDeleteleo ugeni huu wa ffu!walinzi wasio na nidhamu...najua watabwaka mpaka kijulikane haya tuachie wenyewe wenye gwaride lao
ReplyDelete