JK akimnadi MO Jimbo la Singida Mjini jana.
MO akiwawasalimia wana Singida Mjini mara baada ya kunadiwa na JK katiika mkutano wa kampeni uliofanyika jana Jimboni humo.
MO akiwahutubia wana Singida Mjini.
JK akiwa na MO pamoja na watoto waliokuwepo wakati wa kumpokea alipokuwa akiingia katika hospitali ya rufaa inayojengwa Singida.
JK akisalimiana na mmoja wa wajenzi wa hospitali kubwa ya rufaa ya inayotarajiwa kukamilika hivi karibuni. Katikati ni MO akiwa ni mwenye tabasamu zito.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Huyu ni mmoja ya wabunge wachache(CCM) wenye lengo la kuleta maendeleo Tanzania, Ususani jimboni kwake.

    Inasikitisha kuona kwamba ni wachache mno, kiasi kwamba kazi yao nzuri inanyonywa na ile mbaya ya mafisadi waliojaa ndani ya Chama.

    ReplyDelete
  2. Sidangayi na sipendi Mafisadi Mohamed Dewji ni Mwanamaendeleo sana na anaipenda Singida kwa moyo wake wote kwa CCM huyu anafaa

    Mtanzania NY

    ReplyDelete
  3. Kaka michuzi,nimefanya utafiti na kugundua kuwa kadiri siku za uchaguzi zinapokaribia na ndivyo idadi ya wasomaji katika hii Blogu inavyozidi kupungua.

    Unajua kwanini?Wengi wa waliokuwa wasomaji wa blogu hii(issamichuzi.blogspot.com) hawapendi kuona jinsi unavyokipendelea chama cha mapinduzi(CCM) na kuandika habari mbaya za vyama vingine(Chadema na CUF).

    UKWELI NI KWAMBA HII BLOGU NI YA CCM na unajua kuwa watu wengi tumechoshwa na CCM.Jaribu kuweka balance basi kwa vyama vyote.Maana hata mimi hamu ya kufungua blogu hii siku hizi ni 10%.

    ReplyDelete
  4. Tanzania and Africa at large we need true and real leadership. The world is matching forward, while Africa remains stagnant or backward. That is the truth by all measures of all reginal block and economic standard. I suggest we start good leadership from family leavel to the national and continental level. We gotta stop bad traditions that keep us proud but poor. Pride does not build rather creates arogance of which too many Africans tend to dweal on. Now that is not development. I make mistakes I gotta suck it up, admit and learn from it not maintaining status quo. We need true Leaders and commited. Too often education is used as pride of many african leaders but they forget that the can have degrees from the books but if what they learned cannot be transfered into what they practice and change the community for better they they are not educated at all. I wander what do Afican Leaders learn every year when they come to NY, UN general assembly so that they can implement in their mother countries? It is disturbing, if we still have the sentiments of killing and destroying your opponents. We ought to learn from our oponents.We forget the Bile say that "keep your opponents closer so that you can learn from what they challenge you". To do so every Afican can start been a good parent because the nation is the reflection of the families at the national level. That' right, psychologist Ericson said that family is the principle faundation of all major organizations, therefore family is an important institution. Got it, yes your and my family are very important players of the organization, town/village, district, province/state, nation, region, continent and universe/international. Till we can untangle this puzzile we African cant make it in the true face of the world

    ReplyDelete
  5. Tanzania and Africa at large we need true and real leadership. The world is matching forward, while Africa remains stagnant or backward. That is the truth by all measures of all reginal block and economic standard. I suggest we start good leadership from family leavel to the national and continental level. We gotta stop bad traditions that keep us proud but poor. Pride does not build rather creates arogance of which too many Africans tend to dweal on. Now that is not development. I make mistakes I gotta suck it up, admit and learn from it not maintaining status quo. We need true Leaders and commited. Too often education is used as pride of many african leaders but they forget that the can have degrees from the books but if what they learned cannot be transfered into what they practice and change the community for better they they are not educated at all. I wander what do Afican Leaders learn every year when they come to NY, UN general assembly so that they can implement in their mother countries? It is disturbing, if we still have the sentiments of killing and destroying your opponents. We ought to learn from our oponents.We forget the Bile say that "keep your opponents closer so that you can learn from what they challenge you". To do so every Afican can start been a good parent because the nation is the reflection of the families at the national level. That' right, psychologist Ericson said that family is the principle faundation of all major organizations, therefore family is an important institution. Got it, yes your and my family are very important players of the organization, town/village, district, province/state, nation, region, continent and universe/international. Till we can untangle this puzzile we African cant make it in the true face of the world

    ReplyDelete
  6. Tanzania and Africa at large we need true and real leadership. The world is matching forward, while Africa remains stagnant or backward. That is the truth by all measures of all regional block and economic standard. I suggest we start good leadership from family level to the national and continental level. We gotta stop bad traditions that keep us proud but poor. Pride does not build rather creates arrogance of which too many Africans tend to dwell on. Now that is not development. I make mistakes I gotta suck it up, admit and learn from it not maintaining status quo. We need true Leaders and committed. Too often education is used as pride of many African leaders but they forget that the can have degrees from the books but if what they learned cannot be transferred into what they practice and change the community for better they are not educated at all. I wander what do African Leaders learn every year when they come to NY, UN general assembly so that they can implement in their mother countries? It is disturbing, if we still have the sentiments of killing and destroying your opponents. We ought to learn from our opponents, forget not the Bile say that keep your opponents closer so that you can learn from what they challenge you. To do so every African can start been a good parent because the nation is the reflection of the families at the national level. That's right, psychologist Ericson said that family is the principle foundation of all major organizations, therefore family is an important institution. Got it, yes your and my family is very important players of the organization, town/village, district, province/state, nation, region, continent and universe/international. Till we can untangle this puzzle we African can’t make it in the true face of the world

    ReplyDelete
  7. Ndugu yangu unayesema kwamba Michuzi anapendelea, mi nafikiri sio kwamba anapendendelea ila ukweli ni kwamba hana choice...

    CCM ndo Tanzania na Tanzania ni CCM.

    Kwa ufupi CCM imeweka mazingira ambayo ukiwa nje ya CCM unaonekana akili yako haifanyi kazi... that's goes back to my first point kwamba Michuzi hana choice ila kuitangaza CCM.

    Senti zangu mbili...

    ReplyDelete
  8. wale wasio wana CCM naomba mtuache kijiweni hapa tupate habari za chama chetu plzzzz na kama umechoswa na CCM basi tafuta mtandao wa chama chako. Kidumu Chamam Cha mapinduzi.

    ReplyDelete
  9. KIDUMU CCM

    ReplyDelete
  10. Sisi wana-Singida tunamuunga mkono Mo kwa sababu amesaidia sana kusukuma gurudumu la maendeleo ya Singida. Yeye na Mheshimiwa Kikwete watashinda kwa kishindo mkoa mzima na wilaya zote za mkoa huu. Viva CCM! Viva!!!

    ReplyDelete
  11. CCM au upinzani, Kuhindwa kwa kiongozi huyu au yule sio tatizo la Tanzania au Africa katika Uso wa duni. Tatizo ni umaikini, afya mbaya, uchumi duni, rushwa na hali duni ya kimaisha kwa ujumla. Sasa kama kuna kiongozi mwenye mwelekeo na anasera za kututoa kwenye hali hii duni basi ndie twamtaka. Awa upinzani au chama tawala hiyo sio hoja. Unaona watanzania na waafrica tulivyo na fikara potofu? Tunakimbilia peremende/gololi kama watoto wachanga angali wenzetu wanakimbilia lulu, dhahabu na almasi. Tofauti yetu kiazazi hiki na kile cha machifu waliouza nchi na bara kwa mkoloni ziko wapi sis waafrica? Tukumbuke Mwalimu alisema ni bora kuwa masikini wa mali, utapata ujuzi na maarifa ya kujikomboa, kulikoni kuwa na taifa la watu wenye umasikini wa mawazo na maarifa kwani ukombozi hakuna kwasababu lolote ufanyalo linaupungufu na kasoro. Je? sisi watanzania na waafrica kwa ujumla tuna upungufu gani? Angalia Brazili, Raisi Luiz InĂ¡cio Lula da Silva ameikomboa nchi yake na sio kwa miujiza ila sera za kujenga Taifa. Ulaya na America wana vichwa au ubongo au akili ngapi? Kwanini sisi waafrica hatuwezi kufanya mambo ya kuboresha mazingiza na maadili yetu? Hili ni swali kila mwanajamii anatakiwa kujiuliza na kumwuliza kila kiongozi katika kila ngazi kabla ya kupiga kura kumchagua. na asipotimiza ahadi hizo ndio kuwe na sera za kumwajibisha kiongozi ambaye sio mwadilifu kwenye jamii. Sio lazima kama french revolution lakini, ni lazima kuwa na sera za kuwajibishwa. Maendeleo sio mali alisi tuu, sera nazo zinatakiwa ziambatane na maendeleo yatokanayo na mali halisi, na hii ni katika uongozi wa ngazi zote na idelogy zote. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa na watu wake wote ili waweze kutambua kuwa maendeleo ni sera za kuleta maendeleo na sio sera za kushinda uchaguzi; Then what next?. Mungu tuokoe wano, tupo bado kwenye utumwa wa kimafikara. Tupe nguvu za uongozi wa Musa na maarika ya kupambana na adui (Ujinga, umasikini na rushwa) kama Daudi alivyomshida Goliati. Amina

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...