




TAREHE 29.09.2010 NYUMBANI KWA MZEE MWALIMU MUGOA KULIKUWA NA SHANGWE KUBWA. MAASKOFU WATATU (3) WA JIMBO LA BUKOBA NA MAPADRE KUMI NA TANO 15 (JUMLA 18) WALIENDESHA IBADA TAKATIFU NYUMBANI KWA MZEE MUGOA. WALIMTAKIA KHERI, NA KUMMIMINIA BARAKA TELE PAMOJA NA ZA KUTOKA KWA BABA MTAKATIFU PAPA BENEDICT WA XVI. WALIMSIFU NA KUMSHUKURU KAMA MWALIMU, MZAZI , MWANAJAMII, NA MUUMINI WA MFANO. JUBILLEI ZOTE TATU( MIAKA 85 YA KUZALIWA, MIAKA 75 YA KUBATIZWA NA MIAKA 28 YA KUSTAAFU UALIMU) ZILIFANA SANA.
Pia ule wimbo wa jubilee na historia uliopo kwenye AUDIO CD kwa wanaopenda kuusikiliza au kudownload watumie address hii http://rapidshare.com/files/420916697/MUGO_JUBILEE_NA_HISTORIA.wma
TUNAWASHUKURU WOTE WALIOSHIRIKI NASI KWA NJIA MOJA AU NYINGINE, KUWEZA KUFANIKISHA SHEREBE ZA JUBILEE YA MIAKA 85 YA KUZALIWA, JUBILEE YA MIAKA 75 YA UBATIZO NA JUBILEE YA MIAKA 28 YA KUSTAAFU UALIMU. KUJITOA KWENU NI ALAMA YA UPENDO.MUNGU AWABARIKI.
ReplyDeleteDeogratias Mugoa
Kwa Niaba Ya Familia ya Mzee Mwl Laurian Mugoa
jamani ta Mugoa hongera sana kwa jubilee yako baba Mungu azidi kukubariki wewe na watoto wako.tunakutegemea irogelo kwa busara zako
ReplyDelete