Hello all, Habari, shikamooni wakubwa zangu.
Nnawakaribisha katika mtandao wangu (Blog) ambao unatoa habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa kila siku pamoja na 'breaking news' habari hususani za watoto na haki zao zinapewa kipaumbele.

Tembelea/Visit:
maalufu kama 'HAKIMTOTO'
Asanteni sana
PIA UNAKARIBISHWA KUTUMA TAARIFA NA PICHA ZA MATUKIO YOTE!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Na hii pia inafungamana na upande fulani. Natufata blogu isiyofungamana na upande na upande wowote. Anyone know?

    ReplyDelete
  2. USHAURI KWA NIMKA LAMECK
    Wewe mtoto achana na mambo ya Blog. Soma shule kwanza. Haya utayakuta ukiwa una taaluma yako tayari. Akina Michuzi wamesoma ndiyo wakaanzisha mambo ya Blog. Sasa wewe una miaka 9 unaanza mambo ya Blog? Huo muda wa kukusanya taarifa, kuzi-edit na kuzipost kwenye Blog utakuwa nao? Hata kama ni kuajiri watu wa kukufanyia hiyo kazi pesa ya kuwalipa unazo? Na je kweli ni wakati wa wewe kumiliki blog? Utasoma shule saa ngani? Zingatia masomo kwanza!
    Mdau
    Ni ushauri tu lakini
    Nawasilisha

    ReplyDelete
  3. Acha roho mbaya. Bolog inasaidia mtoto sana kwa mambo mengi tu. Inamsaidia awe anajua kuresearch, communication na pia inabuild comfidence...

    Na kublog si lazima upost kila siku mara moja kwa week sio mabaya kwa blog ya mtoto. Anaweza akaandika weekly review ya habari zote alizoona na mamboa aliyoyafanya huko shuleni..


    By the way the youngest child known to have a blog is a five yrs old boy...

    ReplyDelete
  4. Mtu mzima hujakaribishwa kwenye blog hii mahsusi kwa watoto. Karibuni watoto mtembelee blog yenu hii baada ya masomo, msifanye kama baadhi ya watoto wenzenu kutoroka skuli na kuishia internet cafe kusurf kenye mitandao na blog zisizo na tija kwa masomo.

    Kaka yenu KK
    Magamba Coast.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...