Home
Unlabelled
MJUE MGOMBEA UBUNGE KINONDONI KUPITIA CHADEMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Swali: Je Phillip unajua matatizo ya Jimbo la Kinondoni? Utatusaidiaje kuyatatua? Nauliza hivyo kwani sijaona yeyote ambaye ameweza kuyatatua. Mimi nakaa Masaki.Tuwasiliane kupitia: elirehemaemtz@yahoo.co.uk
ReplyDeletePhillip ndugu yangu, mi napenda saana watu wanaojitosa upinzani ili kuchallenge the failed status quo..
ReplyDeleteNa una credentials za kutosha. Nimesoma profile yako inatia nguvu, ila kusema ukweli ingilishi uliyoandika kwenye profile yako haina standard ya PhD hata kidogo.
Naelewa kingereza ni kigeni kwetu, ila kwa kurahisisha ungemtafuta hata mtu akakuandikia.
Unajua communication ina-reflect what kind of a person you are..
Phillip ndugu yangu, mi napenda saana watu wanaojitosa upinzani ili kuchallenge the failed status quo..
ReplyDeleteNa una credentials za kutosha. Nimesoma profile yako inatia nguvu, ila kusema ukweli ingilishi uliyoandika kwenye profile yako haina standard ya PhD hata kidogo.
Naelewa kingereza ni kigeni kwetu, ila kwa kurahisisha ungemtafuta hata mtu akakuandikia.
Unajua communication ina-reflect what kind of a person you are..
Muraaaa,
ReplyDeleteTumia Kiswahili!! Mimi sijaelewa unavyo ema katika web yako. Naona namba za benki tu
Observer
Hizi PhD nyingine zinahitaji review...
ReplyDeleteHuyu mbunge mtarajiwa kwakweli yai limegoma.
Sio tatizo ukitumia kiswahili, au tatuta mtu akuandikie..
Kingereza kibovu, mgombea mbovu na hata kura zitakuwa mbovu. Pole sana Mr. Philip
ReplyDeleteMdau,
Kinondoni B
wewe kiswahili chako ni matatizo. Leo unataka kugombea kinondoni?? Kajifuze lugha yako vizuri kwanza uweze kukaa na wazee wakizaramo kwenye baraza...
ReplyDeletehuyu anacheza tu hapo anapogombea hapati kitu...mimi nakaaa hapo mbona hatumuoni mtaaani kuja kuongea na sisi wananchi...mimi naona ni bora arudi huko marekani akapige boxi lake mambo ya bongo si rahisi kama anavyoona
ReplyDelete