Kwa Majonzi makubwa ninayo huzuni ya Kutangaza msiba wa Mwanachama na Mwanataaluma Mwenzetu Mz. Fadhili Matimbwi ambaye pia alikuwa anafanya Kazi Delloite kama Grants Manager - MC Department chini ya Rapid Fund Envelope program.


Fadhili amefariki leo saa 8.00 Usiku (Usiku wa kuamkia leo) Aga Khan Hospital alipokuwa amelazwa baada ya kuugua muda mrefu kwa tatizo la Leukemia.
Mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa kwenda Ifakara-Morogoro kesho jioni ambako mazishi yamepangwa yafanyike huko.

Ibada ya Kuuaga Mwili wa Marehemu itafanyika katika Kanisa la KKKT
(Lutheran) lililopo Buguruni Kesho Ijumaa tarehe 8-10-2010 saa 8.00 Mchana
na baadaye Msafara wa kusindikiza mwili kuelekea Morogoro unaokisiwa
kuondoka saa majira ya saa 10.00 Jioni.


NB: Rambi Rambi Zote na Michango

itumwe kupitia TPN kupitia utaratibu wetu
wa kawaida

1. You can make payment through

Bank Deposits or Transfers to:

* Account Name: Tanzania Professionals Network
* Bank Name: CRDB Bank; Bank Branch: Lumumba
* City: Dar Es Salaam; Country: Tanzania
* Swift Code: CORUTZ TZ
* US $ A/C No: 02J1 007 608 900
* TZS A/C No: 01J1 007 608 901

2. Contacts: Number 0768 777 888; 0773 88 18 88; 0784 00 88 99

5. You can make paymeny by Western Union:
* Send and address to: Mr. Gervas Lufingo;

Deputy National Treasurer;
* Dar Es Salaam; Tanzania.

* Then Email the MTCN to president@tpn.co.tz
6. You can pay by Cash at : TPN Office
* Nyerere Road; TOHS Building
* P.O. Box 21605, Dar Es Salaam
* 1st Floor, Next to TBC (RTD) Radio.

-SANCTUS MTSIMBE

PRESIDENT TPN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nimesikitishwa sana na msiba huu. Japo sikumjua huyu kaka uso kwa uso nimekuwa naongea nae kwenye simu, kwavile nilipanga kumsaidia kumpelekea Organic Cottage Cheese for his diet regimen. Kwa wale mnaosoma Michuzi mara kwa mara mtakumbuka kaka aliyeomba msaada wa Organic cottage cheese toka Marekani. Ndio huyu.

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Nilikuwa nategemea kukutana nae nikienda TZ hivi karibuni na kumpelekea hizo cottage cheese. Mungu Mkubwa!

    ReplyDelete
  2. poleni sana ndugu, mdogo wangu babby uledi mwenyezi mungu akupe nguvu kwa pengo ulilolipata, kwani mungu amempenda zaidi tuzidi kusali kuomba na kutumaini. POLE SANA MPENZI

    ReplyDelete
  3. may he rest in peace! classmate at ESAMI

    ReplyDelete
  4. nimesikitoshwa jamani hii misiba mbona inachukua vijana wadogo na wenye maendeleo hivi?

    poleni wafiwa

    ReplyDelete
  5. Poleni sana.Fadhili alikuwa mmoja wa vijana wangu makini pale IFM.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...