
6th Nov. 2010
CLUB OPUS
Theatre Distric
Savoy Cresent
Milton Keynes MK9 5UP
12th Nov 2010
THE CLUB
179 – 183 London Road
Croydon, London
CRO 2LR
27th Nov 2010
PANAMA BAR
Gas ST
Birmingham
B1 2JT
Vilevile Urban Tour ikishirikiana na Tanzanian Community itakuwa inafanya Kampeni dhidi ya gonjwa la Malaria ambalo linaangamiza binadamu wengi duniani
Wote mnakaribishwa kuja na kuparty kwa Swaga za Kibongo na UK, badhi ya mapato yatakwenda kuchangia kwenye upambanaji wa Malaria
WOTE MAKARIBISHWA,
BARAKA
URBAN PULSE CREATIVE
Oya huyu dogo anakaa Tandale kwa Mtogole. Sio Mbagala.
ReplyDeleteSafari itakuwa ni toka Tandale kwa Mtogole hadi London.