huyu ndiye bibie Faida anayewezesha mambo hayo yote hapo juu na mengine kibao. Anakuambia ukitaka jambo lako linoge namna hii mtafute chap chap mpatane aje na rangi gani. Bei unataja wewe.... upo hapo? kwa mawasiliano zaidi:
FANINA INVESTMENT & CATERING SERVICES
PHONE: +255 784 222 426, +255 715 222 426
PHONE: +255 784 222 426, +255 715 222 426


CCM OYEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKama Halowini vile
ReplyDeletehuo ushabiki muuelekeze kwa viongozi wa ccmkutimiza ahadi na kuleta maendeleo la sivyo mtakuwa mnashabikia kuburuzwa kwani hao viongozi wanamaisha mazuri sana lakini mtanzania wa kawaida anahahah
ReplyDeletetafadhali kuwepo na wimbi la kuleta mageuzi ndani ya ccm mageuzi ya kimaendeleo kila nyanja ili kuwepo na maendeleo kuna uzembe mwingi sana bado unaikabili nchi tafadhali kikwete miaka mitano ijayo iwe ya mageuzi makubwa kiutendaji na uwajibikaji.