Brother Issa,
There has been extreme harrassment by the traffic police officers at/near Salender Bridge.
These cops, mostly target lady drivers. I was, last week caught 3 times!! (should I say, my bad luck or coincidence or simply because I am a lady driver?!!) and more annoying is, they come up with reasons that are not genuine at all.
On 22nd October, I was stopped by a PC, by the name of Saleh - and after checking all my papers and car insurance, he claimed that my 'mistake' was I was carrying a potted plant in my car (Land Cruiser Prado). I do admit that I was carrying this, which was at the back - where one keeps the goods (that is the space meant for it). And he said that this was a passenger vehicle and I was not supposed to carry any goods??
My question to him was simple - 'If I travel up country, where should I keep my bags/laguages?, if the back space is not for that purpose? " - and more annoying is that, these cops are not ready or willing to listen to any reasoning you do!! They are trully 'dictators'. He wanted me to part with a bribe of 40,000/= to which I refused and just to save time, I said to him, that I will pay the fine (which I did, as per the attached receipt!).
All I request is the senior officers should interfere and stop this harrassment, and the sad part is, we can not argue/fight back - all they do is first they ask you for your license and car registration card, and once they possess this, than the harrassments starts!!
I hope my situation will be channelled through your blog.
Dada Sakina
There has been extreme harrassment by the traffic police officers at/near Salender Bridge.
These cops, mostly target lady drivers. I was, last week caught 3 times!! (should I say, my bad luck or coincidence or simply because I am a lady driver?!!) and more annoying is, they come up with reasons that are not genuine at all.
On 22nd October, I was stopped by a PC, by the name of Saleh - and after checking all my papers and car insurance, he claimed that my 'mistake' was I was carrying a potted plant in my car (Land Cruiser Prado). I do admit that I was carrying this, which was at the back - where one keeps the goods (that is the space meant for it). And he said that this was a passenger vehicle and I was not supposed to carry any goods??
My question to him was simple - 'If I travel up country, where should I keep my bags/laguages?, if the back space is not for that purpose? " - and more annoying is that, these cops are not ready or willing to listen to any reasoning you do!! They are trully 'dictators'. He wanted me to part with a bribe of 40,000/= to which I refused and just to save time, I said to him, that I will pay the fine (which I did, as per the attached receipt!).
All I request is the senior officers should interfere and stop this harrassment, and the sad part is, we can not argue/fight back - all they do is first they ask you for your license and car registration card, and once they possess this, than the harrassments starts!!
I hope my situation will be channelled through your blog.
Dada Sakina

Hapo umeibiwa Dada yangu hiyo sio risiti ya malipo hiyo ni kama profoma unatakiwa ukalipe kwa cashier kituoni na unapewa risiti yako kama risiti nyingine za serikali zilivyo hapo Polisi wamekuibia na ndio mchezo wao wanapenda sana hasa wale wa Sallender na pale kati ya Taa za maktaba na Movenpick pia wapo na pia kazi yao ni hiyo tu kulazimishia makosa
ReplyDeletepole sana dadaa, that's not a receipt,its just a notification note! that's why he wrote TO PAY 20,000/=. you needed to ask for a payment receipt(government receipts)..hizo nazo alikula tu
ReplyDeleteSasa Dada Sakina, lets go back to your story, you metioned that you did not do anything wrong and so you did not deserve that piece of paper called "fine". Sasa if you pay the fine and I pay the fine tutafika hapo. I believe the solution was to refuse to pay the fine and spare enough time to take the matter to seniors. If you do that and collectively we all do the same, tatizo hili litakwisha. Mimi nimeishasimamishwa twice nikiwa na pick-up truck, but I refuse kuhonga pia naongea nao kwa jeuri na wananiachia. However, nikipita pale na another fancy car, no body bothers, this means they are go getters and they know what type of cars to stop,and mostly ladies kwa kuwa ni waoga na hawapendi matatizo (I believe this to be wrong kwa mwanamke wa leo). Its time for change, you and I are to inniciate that change.
ReplyDelete.......nimeguswa sana na hili,nakushauri upeleke written complain kwa Mkuu wa Traffic, kwa kuwa ni mpya bado. pengine ayajue haya!
ReplyDeletePole sana dada hiyo ndio bongo!
ReplyDeleteNilisimamishwa na askari kwa kosa la head lights zikiwa on during the day!!
Nikamwambia huyo askari trooper kuwa magari mengi ya kisasa yakiwa on automatically headlights zinakuwa on including mine. Jamaa akaninyanyasa eti ni makosa Dar kuwa na headlights on mchana. Ilibidi nicheke na almanusura anitie magumi, nikamwambia jaribu. Mwisho akasema nimsaidie chai. Nikamwambia akinionyesha mandazi ama vitafunio then nitampa hiyo chai yake. When it come to driving bongo inatia wazimu. Traffic jams, crazy drivers, na hao troopers wenye njaa. kazi kweli kweli
Really this happened?why not should corruption legalized in tanzazia?the authority/admistration has failed to stop these stupid practices done by the so called law enforces,how could someone enforce the law while they are advocates of breaking them,this is realy bad.if I have my car I can carry whatever I want to,that's none of anyone's business,if I were u I would have gone to court and fight that damn ticket.how in the world this should make a sense.this is bs and if tanzanias should not stand for these corruption and beurachratic pracitices then nothing will change as the so called leaders are out of touch from the sufferings an everage person gets everyday. It's shame!!
ReplyDeleteUjumbe ni mzuri. kwa mara nyingine naona kitu kama hiki hapahapa kwa watu tofauti. Naomba uandike na tafsiri ya kiswahili labda na wengine watatoa maoni yao ikiwa pamoja na mhusika kama kwake english is not reachable. Siku hizi watu wamekuwa wajasiri wa kuomba rushwa bila aibu. TAKUKURU mbona hawajilengeshi kwenye maeneo haya?
ReplyDeleteKudos dada Sakina, the only way we can fight corruption and harrassment is through what you did as a citizen, knowing your rights. These Popos are misusing what trust was placed in them. People give them excuses that they are not paid right, my question would be why did they accept the position while they already new what they were going to get paid.
ReplyDeleteHeeee hiyo kali! sijawahi kusikia kuwa kuweka mimea kwenye gari saloon imekuwa kosa.
ReplyDeleteHili lazima lilalamikiwe kwa sauti kubwa.
Nakupa pongezi kubwa sana kwa kukataa kuwapa rushwa hata kama hukuwa na kosa lo lote ulilofanya.
so sorry lady, this issue didnt stert today or some few days ago,
ReplyDeleteits notourious and known by everyone,
so far still the GVN can´t do nothing to stop or reduce.Its already in our system.
watch out who you vote on sundey.
It seems that Dada Sakina has money to burn. She simply should have refused to be intimidated by the corrupt traffic cop. I doubt if he would have done anything because Dada Sakina did not commit any offence. It's most likely that she was issued with a fake receipt, which means that the Sh20,000 ended up in the cop's pockets.
ReplyDeleteMdau,
Dar es Salaam.
Lete malalamiko yako ofisini kwangu kimaandishi na nitawajibika katika nafasi yangu bila matatizo yoyote, fanya haraka kabla tatizo halijapowa.
ReplyDeleteNimeteuliwa ili niwatumikie wananchi kwa uadilifu mkubwa na kuna vyombo vingine vinanifuatilia pia.
Bwana Mpinga, (kama ni wewe kweli),
ReplyDeleteTafadhali hapo juu ya browser
- click sehemu imeandikwa FILE
- tena nenda kwenye PRINT
chukua hiyo print kutoka kwenye printer yako na tayari umepata malalamiko.
Dadaa Sakina na wengine wengi wanaogopa kufika kituo cha polisi kuogopa manyanyaso.
Hata Bosi wako S. Mwema ameyachukua malalamiko ya Mengi kupitia ITV
Mh Mpinga usitupooze bwana,tatizo
ReplyDeletela matrafiki na polisi wote kwa ujumla kulazimisha kupewa rushwa lipo wazi hata watoto wanalifahamu.
Kama unampango wa kulizui hauna haja ya kututangazia humu ili ujisafishe bwana, fanya kazi tutaiona tu, polisi wenyewe hao wananasa hata kwa mitigo ya panzi tu,hawana maarifa njaa kali,haina haja ya kumsumbua huyu dada wa watu, weka mitego uwakamate,wanapokaa sipanajulikana?vinginevyo uwe una mambo mengine
Umeibiwa dada. Lkaini umefanya vizuri kuja kwenye blog. Natoa rai kwa masuka wengine wanaosumbuliwa na matrafiki wala rushwa- ambao ni wengi- kutoa taarifa kam yako.Michuzi Blog is more effective than going to the police station- kesi ya ngedele kumpelekea nyani does not make sense.
ReplyDeleteP.S Luggage has no plural.Hakuna neno 'luggages' kwa kiingereza safi.Kama una mizigo mingi basi unasema 'pieces of luggage'
kwa kweli bongo inachosha na mambo mengi sana, siku hizi ukipita ubongo trafic light saa 12 jioni na kuendelea wanaiba sana side mirror. sasa wameniibia hivyo gari yangu haina side mirror...... natoka home pale kawe karibu na lugalo mchana wanakuwa trafiki wengi hata wengine wana nguo za kipolisi... kama kawaida wakanisimamisha na kitu cha kwanza license and card ya gari... so i gave them, sasa ikaanza stori mama eh unajua kosa lako? i just ask kosa am perfect in my car bwana mkubwa....(you know what akasema usilete uzungu wako hapa) ok i said what?? mama kosa lako huna vioo vya pembeni, nikamwambia yes wameiba na sina pesa ya kununua so if i get money i will buy.. any way to make story short tuligombana sana because he wanted me to pay 40,000 and i told him sasa na wewe mbona unapunguza budget ya vioo if i give you 40000 and mirror are may be 120,000 si uoni kwamba wewe na wale jamaa wa ubongo mpo sawa tu eh jamaa akawa mkali... akaita jamaa yake pale akaanza kumweleza and the other guy was like what... twende kituoni basi si unajua wanapenda kukimbilia kuingia kwenye gari and my car was locked so he told me to open nikakata nikamwambia kama nimefanya kosa note my plate number and i will report to the police my self withni a period of 24hrs and i drove off. we have to know our rules time ya kudanganywa imekwisha.
ReplyDeleteDada yangu pole sana..... Mie nakuelewa kabisa. Mie mwenzio ni lesseni ya marekani. Pamoja na uzoefu wangu na kusota kwenye highway za DC, California na Houston, TX polisi wamekuwa wanisumbua eti lesseni za Ulaya haziruhusiwi kutumika Tanzania. Walidai laki moja niwape nikagoma... Sasa hivi wameisha nikalili nadhani wanaelekezana. Kibaya hata wengine kusoma information za drivers licence za nje hawajui.... Dawa yao nyepesi mpenzi hata kwa Mpinga usiende...wewe akikusimamisha kuwa mkali usikubali kumpa pesa hata kama ana lisiti mpaka uende kwa cashier...pale itakapobaina ni kosa kweli... Wakikuzingua kula ungenge ndo dawa yao...
ReplyDeleteI think that you are the problem here!
ReplyDeleteyou adress your problem here in kiinglishi wakati hao matrafik this language is not rechabo!!!!!
what are you pipo thinking?!!!
msinikanumbe jamani nilikuwa najaribu kumshtua imebidi nitafute tu kamusi nimwandikie kwa lugha yake labda kimatumbi ize not rechabo!!
DADA MATATIZO HAYO YANATAKIWA KUPELEKWA KWENYE SEHEMU HUSIKA NA SI KWENYE VYOMBO VYA HABARI.
ReplyDeleteGreetings,
ReplyDeleteI would like to add to this harrasment as well.
Not only Salendar Bridge Police , but also those Normal police who travel in Cars.
LAst Sat Night i was near Clock tower , I had stop showing indicator light ( i didnt block the road it was on the side )
I was dropping my Aunt who was 71 yrs old. There was no parking there so i had to drop here on side.
Suddenly a Vx comes with a Police Hundai car and one policeman drops from the car n bangs his hand litterly bangs on my car !
And starts calling me Mwindi and all.
they start harrasing me that you have parked on the road while i was still in the car with indicator lights.
I just explained that i was droping this aunty and there is no parking anywhere near by.
i was charged criminal charges and arguing with policeman. I could even smell alcohol from one of the police.
Luckily My uncle knew lots of home affair seniors as he works in Hundai and Police gets few cars from there.
They wanted 200,000 as bribe.
Salendar bridge police such a hassle.
They come out from 10-11.30am and around 3 sometimes.
Weekends its there money making time !
There is no seniors to fight in Salendar, i have paid fines 3 times which now i know are just like profoma onvoice and not RECIEPT !
This should be stop !
Please give suggestions on what one should do once wrongly accused.
Also we should make PDF of Traffic offense .
Thanks
Huzaifa
Ndugu M.Mpinga nasikitika sana kusema na wewe pamoja na viongozi wenzako wa ngazi za juu pia ni sehemu ya tatizo kwa muda mrefu. haya mnajua sana na mnayalea kwa manufaa yenu hilo tunalifahamu cha msingi hakuna haja ya maandishi wala nini act immediately upon huyo Salehe utakuwa unamjua na uone copy ya kitabu alichoandika hiyo notification na umulize receipt ya malipo hayo 20,000/= copy yake iko wapi, msitufanye wapumbavu bwana tumechoka na nyie sasa kulea vitu vya kipuuzi puuzi.
ReplyDeleteYAANI KWA KWELI TRAFFIC WA NCHI HII WAMEZIDI SIO TU KUBAMBIKIZA MAKOSA ILI KUJIPATIA RIZIKI.MIMI BINAFSI ILISHANITOKEA NILIPATA AJALI NA ALIYENIGONGA NDIO ALIKUA NA MAKOSA MCHORO ULICHORWA NA TRAFFIC KISHA NIKATIA SIGNATURE CHAKUSHANGAZA BAADAE SIKU NINAYOFUATILIA KUCHUKUA GARI KWA AJILI YA MATENGENEZO POLICE CENTRAL KUITISHA FILE NIKAGUNDUA MCHORO ULICHAKACHULIWA I MEAN WALIFOJI MCHORO PAMOJA NA MY SIGNATURE NA MTUHUMIWA ALIRUHUSIWA SIKU HIYO HIYO BILA HATA GARI YAKE KUKAGULIWA. HILO LILINIONYESHA WAZI KUWA KUNA MAZINGIRA YA RUSHWA. JE HIVI TUTAFIKA KWELI
ReplyDeleteWatanzania tusijidanganye hao polisi wameagizwa na wakuu wao wa kazi kufanya hivyo, na ukijifanya mjanja ukiendelea kujitetea ndivyo unavyojiingiza zaidi katika matatizo, utazuliwa jambo ambalo linaweza sababisha hata kufungwa na hiyo ni sera si katika polisi wa usalaama barabarani bali vitengo vyote vya polisi.
ReplyDeleteKWA HILI LA MATRAFIKI KUOMBA RUSHWA KWELI NI HATARI TENA KUNA UOZO WA HALI YA JUU! JUZI BUS LANGU LILIKAMATWA NA ASKARI ANAYEITWA AWADHI TRAFIKI KITUO CHA KATI KWELI DEREVA ALIKUWA NA MAKOSA NA BAHATI MBAYA SIKUWEZA KUMWEKEA DHAMANA SIKU HIYO ALILALA RUMANDE, SIKU INAYOFUATA ALIKUWA APELEKWE MAHAKAMANI LKN TULIPEWA OPTION TULIPE 250,000 AACHIWE AU APELEKWE MAHAKAMANI. JAMANI KWA HARAKA NI KWAMBA MAHAKANI WAKIKUPELEKA MAKOSA WAKAKAYOKUBAMBIKIA NI MAKUBWA NA WANASEMA ILIMRADI TU USEME BORA KUTOA RUSHWA. MIMI NILIISHIWA NGUVU NA NIKIKUMBUKA KILICHOMTOKEA JAMAA YANGU AMBAYE ALIKUWA AKISUMBULIWA NA TRAFIKI KWA KUOMBWA RUSHWA AKAAMU KWENDA TAKUKURU KUCHUKUA PESA NA MTU WAO CHA AJABU ASKARI WAKATAARIFIWA KUWA WASIPOKEE RUSHWA KUNA PESA YA MOTO, NIKAONA HAKUNA MSAADA HATA KAMA NITAICHUKIA RUSHWA ITABIDI NIIPENDE ILI NIISHI NORMAL LIFE.
ReplyDeleteHAKUNA CHA KUSHITAKI JUU KWA SABABU WANAJUA KILA KITU NA WANAACHIA UOZO DAWA YAO INAKUJA!JUMATANO WIKI IJAYO ATAAPISHWA MKOMBOZI
Watanzania fanyeni kama alivofanya Raisi wa Georgia: Fukuza askari wote na anzisha kikosi kipya cha askari waliofuzu mafunzo ya kileo chuoni na pandisha mishahara. Bongo haitabadilika mkilalamika tu.
ReplyDeletesiku hizi ukipata tatizo aidha umeibiwa unataka msaada au taarifa inayoitaji ulinzi/utafiti wao ukajifanya kukimbilia polisi umeliwa! polisi wakikupokea wanajua umewaletea neema/chochote uwe mshitaki au mshitakiwa lazima wakule! sasa jamani tuende wapi?? HIVI HAO WALIO JUU SI WANASOMA HAYA, ETI MSIKA ANASEMA HUYO DADA APELEKE KWAKE MALALAMIKO KIMAANISHI KWA HIYO RISITI KAMA AMEIONA SI AFUATILIE KWA HUYO ASKALI NOTIFICATION NAMBA 1459030? MSIKA FANYA UCHUNGUZI
ReplyDeleteYAANI HAO ASKARI WA SALENDER, KWA WACHACHE NILIKOKUMBANA NAO MIMI (WATATU) RUSHWA KAMA KAZI WANACHOFANYA AKIKUWAHI ANATAKA RUSHWA SIKU MOJA PIA WALINIKAMATA KWENYE MATAA , TAA ZILIPORUHUSU AKAMWAMBIA MWENZIE AINGIE GARINI MWANGU AKAINGIA AKAANZA KUNIOMBA RUSHWA NIKAKATAA NA NIKAENDA KITUONI PALEPALE SALENDER KULIPA, KUFIKA PALE NIMELALAMIKA WEE LAKINI KILA MMOJA ANAKUSHAMBULIA WEWE UTAFIKIRI WALIKUWEPO WAKATI UKITENDA KOSA, MIMI NILIKAMATWA ETI KWA KUKANGAGA ALAMA ZA PUNDAMILIA PALE KWENYE MATAA, NIKAMWELEZA TAA ZILIKUWA ZIMERUHUSU NA MBELE KUNA GARI KUBWA NIMESHTUKIA GARI KUBWA LIMEPITA NA TAA ZIMEBADILIKA. ALIKATAA KATAKATA NA KUMPA MWENZIE KAZI ZA KUINGIA GARINI KWA KUWA ALIKUWA AKIENDELEA KUONGEA NA MIMI NA TAA ZILIRUHUSU.
ReplyDeleteMWINGINE MWANAMKE,ALINISIMAMISHA NA KUINGIA GARINI AKIANZA KUANDIKA KATIKA KARATASI PLAIN ANANIULIZA MPAKA UMRI ANAANDIKA MWISHO AKADAI NAKUHURUMIA KWA KUWA UKO WATOTO SASA TUTAMALIZANA VIPI. ADAI NIMPE ELFU TANO NIKAMWAMBIA SINA CHENJI AKASEMA NIPE NITAKUPA CHENJI..
Jamani, mimi na muunga mkono akina Dada ambao wanalalamika kwamba kila mara wanasimamishwa na polisi.
ReplyDeleteHata mimi haipiti wiki bila kusimamishwa!!!! Halafu, hutokea tu nikiwa peke yangu au ABIRIA WA KIKE au NA WATOTO. Nikiwa na ABIRIA WA KIUME- sisimamishwi hata kidogo!!
Wakishachunguza kila kitu- wataanza kuuliza masuali kama:- unafanya kazi wapi, kabila gani, mumeo anafanya kazi gani??
Wakiomba rushwa wanadai ni 'faini'. Kama faini ni Shs.10,000..wao watasema ni 50,000!!
Bahati nzuri, nimewapatia na kuomba kwanza nambari zao na majina yao- na kila mmoja anakataa kutoa nambari zao. Wakiona hivyo basi wananiachia maana wanafikiria mimi ni CID ...hapo nimeshapoteza kama dakika 15 kusimamishwa bila kosa.
SINA IMANI NA POLISI WETU KABISA.
Natumai IGP SAID MWEMA atapata nafasi ya kusoma hii blog na kutatua hili tatizo.
Are you f*&%ing kidding me?! Huu ni wizi wa waziwazi, sheria gani inakataza mtu asibebe anachokitaka ndani ya gari lake? Ndio shida ya kuwa na maaskari wasio na kisomo chochote. Wakuu wa maaskari hao wako wapi? Wakuu hao wanatakiwa kuadhibiwa kwa niaba ya hao wapumbavu ladba ndio watahakikisha kuwa maaskari wanafanya kazi zao ipasavyo. Haya ni mambo ya aibu sana.
ReplyDeleteLakini watanzania tunatakiwa wenyewe tujue sheria za barabarani. Huyu traffic was right or wrong. Kama umeweka huo mmea na unakuzuia kuona nyuma kupitia rear view mirror ni wrong. Hatujui huo mmea wako ulikua mkubwa kiasi gani na uliziba vipi wewe kuona nyuma.
ReplyDeleteSasa kwenye comment naona mwingine anasema anaendesha gari bila side view mirrors. Halafu alikishikwa na police analalamika. Je sheria za barabara Dar zinaruhusu kuendesha bila side mirrors? Kwa passenger side or both?
kama kila mtu anajua sheria za barbara nadhani hata ukisimamishwa na traffic police utajua nini unajibu. Wengi wanaendesha magari bila kujua sheria za barabara ndio maana ajali haziishi TZ. na pia hatujui nini ni nini ndio maana tunapewa fake receipts. kama unajua sheria zako na legal issues utastand on both feets bila hivyo itakua taabu sana.
SASA WEWE MKUU WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI, MALALAMIKO NDIYO HAYA YAMESHAKUFIKIA, NA RECEIPT UMEIONA SASA KWA NINI USILIFANYIE KAZI? ATLEAST KUMHOJI HUYU POLISI ALIYEFANYA HIVI.
ReplyDeleteAU UNATAKA HUYU DADA AJE OFISINI KUKUPA RUSHWA TENA..?
Dada Sakina, Pole sana, nakushauri dont leave this thing in between. Fuatilia. Hiyo uliyopewa sio receipt, ni notification of offence, in fact ungweza kwenda kulipa katika ofisi yoyote ya serikali na kupewa recipt wanaziita ERV. next time ukipewa hiyo notification ichukue usitoe pesa, Nenda kalipe, nadhani sheria inaruhusu ulipe ndani ya saa 48
ReplyDelete