Utawala na wafanyakazi wa URBAN PULSE wakishirikiana na Tanzania Community Europe wana penda kuwatangazia washabiki wte wa Diamond UK na watu wote wanao support kampeni ya vita na Malaria ya kuwa kunabadiliko ya lazima yaloyotokea kuhusu show ya Diamond ya tarehe 27 November Birmingham. Kwamba kutokana na idadi kubwa ya watu wanaotegemea kujitokeza siku hiyo imebidi ukumbi ubadilishwe ili uweze kukidhi idadi yao,Kwa hiyo jambo hili limepelekea ulazimu wa kubadilisha kumbi:
Hivyo 27 November 2010 mambo yatakuwa:
116 GAR GOSFORD STREET
PALMS BAR
COVENTRY
CV1 5 EA

Mabadiliko haya ni ya lazima na
tunaomba radhi kwa ufumbufu wowote utakojitokeza
WOTE MNAKARIBISHWA
Utawala
URBAN PULSE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...