DJ Bonny Luv (kuume) akiwa na Eliud Pemba (kati) na Othman Njaidi usiku wa kuamkia leo katika kiota kinachoongoza kwa maraha kila jumamosi jijini Dar cha Mzalendo pub. Othman Njaidi ndiye mwanzilishi wa kipindi cha Africa Bambataa cha Clouds FM enzi hizo akiwa na hayati Amina Chifupa, na pia ni mmoja wa wanamuziki wa mwanzo wa bongo fleva akiwa na Eliud.
Kwa picha zaidi nenda Mtaa kwa Mtaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. VICTOR KILEONovember 07, 2010

    im glading to see him Njaid leo asubuhi in our blogs of the michuzi but he looked very skin i wonders how happened ON USA INSIDE and still keeps his close. LAST TIME I SAW HER WEARING ORANGE JUMP SUITS AND HE WAS VERY FINE Pole athumani it is life AND YOU WILL CATCH UP ASANTE MJOMBA MICHUZI MUPE HELLO 5 KWA KWELI

    ReplyDelete
  2. Dah pole OJ na ile issue ya Microsoft.....

    zAUNUNU-AMSTERDAM

    ReplyDelete
  3. HAYA KAKA UMERUDI BONGO MWENYEWE BAADA YA KUICHEZEA NYAMWEZI KWA MUONGO MZIMA. HII NI SHULE KWA WOTE WANAOJISAHAU HUKO MAJUU KWA KULA BATA FANYENI MFANYAVYO LAKINI MJUE UGENINI SIO NYUMBANI MTARUDI BONGO ONEDAY. WELCOME BACK OTHMAN NJAIDI NAONA UNAIONA BONGO ILIVYOCHANGE WATOTO WADOGOO WAMELALIA MAMILIONI YA PESA. USIJALI KAKA KUTANA NA SISI TUTAKUPA DILI UTAKAA POA KWENYE NCHI YA JK. MDAU MASAKI

    ReplyDelete
  4. HUYU OTHMAN NJAIDI KATOKA JELA KUMBE AU NI NDUGU YAKE

    ReplyDelete
  5. Wamemwachia na kumrudisha sasa wazee was chip.

    ReplyDelete
  6. Othman kumbe umeshatoka brother. Big Up.

    ReplyDelete
  7. eeeh bwana wee OTHMAM katoka jela? bila shaka kajifunza.
    fanya kazi clouds ndugu yangu kwani umejaliwa sauti nzuri AFRICAN BABATA IS BACK!
    MUNGU AMREHEMU CHIFUPA.

    ReplyDelete
  8. sioni haja ya kunanga yote maisha, ndo maana jela zimejengwa duniani kote, humo kuna kila aina ya watu wasomi vilaza kila sampuli, hivyo ilimtokea bahati yake mbaya ila ndo nyenzo nzuri ya kujifunza

    ReplyDelete
  9. Hapo sasa mnafurahia nini jamani . mwenzenu alikuwa amepata matatizo ametoka salama msaaidieni . Watanzania hatuendelei kwa ajili ya majungu wivu kelele na uswahili . LEO SHIDA YAKO KESHO YA MWENZIO . oTHAMAN MUNGU AKUBARIKI TUNAKUMISS HOUSTON KARIBU . Chuki za watanzania ndio hizo ujifunze usimwamini kila mtu . Nakubariki katika jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu.

    ReplyDelete
  10. MWACHENI KAKA WA WATU KWANZA NAMUONA NI SHUJA KWA SABABU WATU WENGI WAKIRUDISHWA TANZANIA WANAJIFICHA NDANI omari mandari AMEJIFICHA . MAISHA KWA OTHMAN YANAENDELEA NYINYI NA ROHO MBAYA NA MIDOMO MUONGEEE WE, MWENZENI ANAENJOY MAISHA. JELA WAMEJAA MASENATOR ,CONGRESSMAN, PRESIDENT WA NAZDAQ MADOFF YUMO HUMO NDIO IJE KUWA OTHMAN . TUPENDANE JAMANI

    ReplyDelete
  11. wewe Victor unaona kuishi DC wakati umebanwa na jimama unaona umeuchinja siyo? mimi nakuona fara tu Njaidi mwenzako mjanja ndiyo maana ameweza kwenda jela na ametoka yupo juu bongo wewe una nini hapo DC cha kuringia?

    ReplyDelete
  12. Othman habari za siku naomba tuwasiliane maana ni siku nyingi hili neno utanikumbuka mimi nani. KWANI HAPA HAPATUMIKI HAPAAAA? Muulize Eliud tunakutana kwenye face book.

    ReplyDelete
  13. Wewe Zaununu wa Amsterdam unamnanga OJ kwa kutoka jela naona unafurahia kwa mwenzako kupata matatizo, na wewe si unauza Unga hapo Amsterdam basi subiri kiama chako kinakuja.

    ReplyDelete
  14. WATANZANIA TUAMKE NA KUZUNGUMZA VITU VYA KUTUSAIDIA. HUYO KIJANA ALIKWENDA KUTAFUTA MAISHA KWA AJILI YA NCHI YETU KUTOKANA NA UMASIKINI WA NCHI YETU UNAOSABABISHWA NA WATU WACHACHE. TUZUNGUMZIE WIZI WA FEDHA ZA EPA, RADAR, NDEGE YA RAIS, MAKAA YA MAWE, RICHMOND NDIPO UTAKAPOJUA KUWA HAYA YOTE YANAYOWAPA HAWA VIJANA YANASABABISHWA NA HAO WEZI WAKUU AMABAO WANAFIKIA HATA KUFICHA PESA NJE. HAWA WANASABABISHA MAGONJWA UMASIKINI, UDUNI WA ELIMU, VIBAKA NA MAISHA MAGUMU KWA WALIO WENGI. TUKIANGALIA HAYO TUTAJUA KWANINI VIJANA WANAHANGAIKA NJE, NA HUKO NJE KUNA MADAKTARI, WAHANDISI, WATAALAM WA FEDHA AMABO HAWAWEZI KUAJILIWA BOT, TRA NA SEHEMU NYINGINE KWA KUWA SI WATOTO WA WAKUBWA. OTHMAN U STILL GOT LIFE AHEAD, KEEP ON FIGHTING AND FOR SURE YOU WILL BE ALLRIGHT.

    ReplyDelete
  15. Ndomaana haturudi Bongu....tutakuja kutembea tu!!. Wabongo wengi viroho korosho tuuu!! Mwenzao akipata matatizo wao wanashangilia....wewe unafaidika vipi kwa matatizo ya mwenziooo???!!. God Bless Tanzania....but also God da*n all haters in Tanzania. Big Up OJ...Now watch him rise up again to the top!!!

    ReplyDelete
  16. westheimer & beltway 8November 08, 2010

    we still lv u OJ!

    ReplyDelete
  17. Ehe kumbe macho yangu hajkunidanganya hiyo trh 30.10 nikingoja pipa la KLM namuona Mzee anashuka. Be blessed dunia ndio mama kila mtu hupitia lake. it doesn't matter how many times you fall what matters is how many times u raise up. wabongo ndio tulivyo kufurahia shida za wengine.

    ReplyDelete
  18. ujifunze privacy watanzania ndio hao . pole kwa matatizo na mungu atakupa baraka

    ReplyDelete
  19. Watanzania wa Houston kwa chuki hatujambo . Mnafurahia nini ?na wakati mlikula pesa zake hapa . Pole othman unanafuu umerudi nyumbani Houston majungu na chuki . Lol

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 10, 2011

    DAH,,KAKA OJ kipindi hicho unarusha vipindi vyako ITV before Clouds i was so young but i do remember u,,kaka ucjali watu wanavyosema,,angalau wewe umejaribu katika kutengeneza life mwana,,,maisha ni kama vita bro jipange upya na tutatoka,,usiwasikilize mabwege haoo coz most of them hawjawahi kuonja kiwanja thas y wana jilasi za kibwege,,kwa sisi tuliokwisha onja mamtoni tunajua ladha ya kule,,hao wengine hata chanel za kuzama huko hawana thas y wameridhika na vumbi lao.GET RICH OR DIE TRYIN BRO,,,HOLAA OJ,BIG UP BRO ONE LOVE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...