Mshambuliaji hatari wa Newcastle Carrol akishangilia
baada ya kuwatungua Arsenal jioni hii katika ligi kuu ya Uingereza.
Kwa habari kamili tembelea BBC sport

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ankal, tupe jinsi Bwawa la MAINI lilivyomchabanga Chelsea. Achana na hizi mechi za mchangani

    ReplyDelete
  2. Michuzi mjanja kaweka hii ili apate kuweka baadae ya Liverpool sikunyingi hajaweka mambo ya Liverpoolfc hahaha.

    ReplyDelete
  3. NIMEIPENDA HII,ARSENAL WAKAFIE MBELE KUDADADADEEEEEEEEEKI !!! WEWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  4. safi sana new castle na bwawa lamaini namna hii game ndo linanoga!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...