Home
Unlabelled
harambee ya kumpigia kura aneth katika tusker project fame
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa nini? Tumpe kura kwa sababu anastahiki upewa kura au ni kwa kuwa ni mtanzania?
ReplyDeleteWhats the point? kumpa kura ilhali hastahiki? hili suali sio la urai bwana!!!!
Hamuoni kama suali zima la tangazo hili na kampeni yake ni udanganyifu (cheating). Mnataka watanzania wote hata wasiojua kinachoendelea wampigie kura huyu dada tena mara nyingi. Kwa kufanya hivyo je mnamdangaya nani? wewe wenyewe, yeye au nani? Kinachotakiwa ni kupewa kura kwa kuwa anastahili na anafurahisha watu. Sio tu kwa kuwa ni mtanzania!!!!
ReplyDeleteTuondoleeni mambo ya upuuzi hapa.
ReplyDeleteSipigi kura wala nini...!!!
Kwani ni kitu gani hiki tunachoambiwa tupige kura? Kwa nini?
ReplyDeleteTangu wamemtoa Mtanzania Leah Mudy hii Tusker Project Fame ya mwaka huu haina kitu.
ReplyDeleteJInamizi la fitina yao bado linawasumbua chehttp://dailystandard.iblog.co.za/?p=582ki hapa
nahisi kuna njama za kumwangusha maana nimepiga kura kama ilivyoelezwa lakini nimeletewa sms kuwa code niliyoitumia si sahihi!!
ReplyDeleteAcheni wivu watanzania na udini
ReplyDeletemtowa maoni wa Sat Nov 13, 04:19:00 PM grow up. Ni nani alochangia hapa anaeonyesha kuwa na wivu au kutumia udini?
ReplyDeleteUna matatizo ya wasi wasi mwezetu, nenda ukamuone daktari haraka!!!!