HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWENYE UZINDUZI RASMI WA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 18 NOVEMBA, 2010

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 45 mpaka sasa

  1. Michuzi Wabunge wametoka nje ya Bunge wakati JK anahutubia hebu tuwekee

    ReplyDelete
  2. Michuzi mbona husemi kama wabunge wa chadema wametoka bungeni kwasababu hawamtambui JK? Oh! I guess is not good news for you Huh!! Unatuchagulia habari sio. Najui ingekuwa story za chama fulani hapo tungeona maandishi makubwa na mekundu BREAKING NEWS!!!

    ReplyDelete
  3. Safi sana, huu ndio ukuaji wa demokrasia ya karne hii. siku hizi hakuna kupingana kwa kuingia msituni huku mkiharibu nchi yenu wenyewe ni mwendo wa mgomo baridi mpaka kieleweke., kwa wale watakaopinga walichofanya Chadema wajiulize bora lipi walichoamua kufanya ama kuingia msituni na kuharibu aman kwa mambo yaliyofanywa wakati wa uchaguzi

    ReplyDelete
  4. Kaka michuzi ndio maana kila siku watu wanakurekebisha kwa maandishi yako, unajua maana ya kususa kusikiliza na kugoma kusikiliza. hapo imeonyeshwa demokrasia ya kuigwa kwa nchi zote za Afrika, ule wakati wa kushikiana silaha umeisha huu ni mda wa kuelezana ukweli hatukupendi ni hatukupendi tu

    ReplyDelete
  5. Sielewi CHADEMA wanasusa nini maana kama kura wameshindwa sasa wakae na serikali watuletee maendeleo sio kususasusa ndo wanachelewesha maendeleo ya nchi.

    ReplyDelete
  6. Yap, hili kubwa kwakweli, nawapongeza wabunge wa chadema kwakile mlichokifanya, hii inaonesha ukomavu wa siasa, hamjakubali kufanya unafiki kwakubaki bungeni wakati hamkubali raisi huyo, so mlichokifanya nawapa big up sana cos u did what is right ! Michuzi hope utajirekebisha

    ReplyDelete
  7. safi sana chadema bado moja sasa kususia posho za bunge

    ReplyDelete
  8. YAAN WADAU MAISHANI SIJAWAHI ONA CHAMA AMBACHO KINAUBINAFSI.....UPEO MDOGO WA KUELEWA NA UCHANGA WA SIASA KAMA CHADEMA..KULIKUA NA SABABU GANI ZA WAO KUTOKA NJE YA BUNGE WAKATI MUHESHIMIWA RAISI ALIPO ENDA ZINDUA BUNGE KWELI WAMEONESHA UDHAIFU WA HALI YA JUU SANA...NA HICHO WANACHO DAI NI MGOMO WANAMFANYIA NANI SASA AMA WANAJIKOMOA WENYEWE....SASA KULIKUA NA SABABU GANI ZA WAO KUTOKA SO INAMAANA ATA WAZIRI MKUBWA AKIWA ANAONGEA AMA CHAMA TAWALA WAKIWA WANAONGEA WATAKUWA WANAWEKA PAMBA MASIKIONI? MAANA KWA KWELI WAMECHEMKA...CHADEMA MJIPANGE SAWA SAWA MSIWE KAMA MKO KATIKA UWANJA WA VIDOLE JUUU.......YANGU NI HAYO TUUU CCM HOYEE

    ReplyDelete
  9. Chadema are bad losers! Lazima watambue kuwa upuuzi wao hautawasaidia wao wala haitatusaidia WaTZ na Tz. Wao walitaka washinde kwa nguvu lakini wameshindwa vibaya sana kiasi wamekuwa na kisirani kibaya sana. Wameonyesha chuki zao waziwazi sasa. Kwa nini wabunge wao wasigome kuapishwa? {Answer: maslahi yao}.

    ReplyDelete
  10. We mchangiaji maoni wa nne; wewe kama humpendi Mheshimiwa Rais Kikwete una haki ya kuwa na chuki zako; lakini usisahau majority ya Watanzania bado tunampenda JK na hamwezi kutufanya kitu. Aidha, huwezi kuita chuki demokrasia. get a life hater!

    ReplyDelete
  11. Hatujali hao wababaishaji wa chadema wanafanya nini. Mradi Watanzania tulio wengi tunamtambua Rais JK na jumuia ya kimataifa (kuanzia EAC, AU, Jumuia ya madola, UN, jumuia ya nchi za Ulaya, USA na nchi zote duniani na asasi kama vile IMF na Benki ya dunia) inamtambua JK, hatujali ukorofi na vitimbi watakaofanya chadema. Dua ya kuku haimpati mwewe. Chura hawezi kumzuia tembo asinywe maji. Mangelepaa.

    ReplyDelete
  12. Wewe mwenye kutamka, "Michuzi Wabunge wametoka nje ya Bunge wakati JK anahutubia hebu tuwekee," una maana JK kahutubia ukumbi mtupu?

    Yaani kwako kila mbunge ni wa Chadema?

    What a confused mind!

    Tafadhali sana andika ueleweke! Hii sio dunia ya sis Chadema tu. Ni ya CUF na wengine!

    Acha wasusie! Na wasusie kila kikao cha Bunge liliofunguliwa na JK!

    Wajue, tuliwachagua kushiriki katika vikao vya Bunge, ambavyo huanza kwa kuzinduliwa na Rais!

    Mwana Chadema

    ReplyDelete
  13. Walivyokuwa wanafanya CUF katika miaka ilee ilikuwa oooh oooh ooooh hawana uzalendo?

    Mbona sasa Chadema wanarudia yale yale na wamekuwa mashujaa?

    ReplyDelete
  14. Chadema wanachekesha kweli. Kokote kwenye TV na radio Tanzania na nchi jirani, tumemwona na kumsikia Rais wetu. Hao waliotoka bungeni ni hiari yao, lakini haitabadili chochote. Mungu mbariki Rais Kikwete, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika!!!! Ngulumbalyo Mandai MMatumbi.

    ReplyDelete
  15. Hatujali wakitoka bungeni. Mradi tu wasithubutu kutekeleza tishio la slaa la kumwaga damu; wakithubutu kumwaga damu ya Watanzania watajuta. J Bomaboma.

    ReplyDelete
  16. Wewe anon wa 7:27, sema "chadema hatumpendi" usiseme chadema hatumpendi, ok? Sisi tunampenda JK. M H Mnzava, Same.

    ReplyDelete
  17. Watake wasitake JK ni Rais wetu. Tutaendelea kumwombea Mungu amlinde na ampe mafanikio makubwa zaidi. Kabwe wa CCM.

    ReplyDelete
  18. Ha ha ha ...mdau hata mimi nasubiri chadema watekeleze haki yao ya "kidemokrasia" na hususia posho zao!!!! Lol!!!!!!!1

    ReplyDelete
  19. Wakisusa so what? dunia itaendelea kuzunguka na kwa nguvu za Mola Muumba JK ataendelea kuwa Rais. Amen.

    ReplyDelete
  20. Hongera raisi Kikwete kwa hotuba ambayo imegusa maeneo mengi muhimu. Raisi anaonekana amehuzunishwa (na mimi pia) na huu mgawanyiko wa kidini unaonekana kutokea kati ya watanzania. Rais Kikwete hana mtu wa kumlaumu kwa huu mgawanyiko isipokuwa yeye mwenyewe kama kiongozi wa CCM na raisi wa nchi

    Kwa kiasi kikubwa huu mgawanyiko wa kidini umechangiwa na mapungufu ya kiuongozi (leadership failures) za raisi Kikwete mwenyewe kama mwenyekiti wa CCM na kiongozi wa nchi. Nasema hivyo kwa sababu zifuatazo

    1) CCM ni chama kinachoundwa na watanzania wa kutoka sehemu zote za nchi na wenye dini na makabila tofauti. Ni chama ambacho kinawaunganisha watanzania wote. Kuwepo kwa CCM inayokubalika na kuungwa mkono na wanachi wote itachangia kwa kiasi kikubwa kuwaunganisha watanzania.

    1.1)Hivi karibuni nchi imekubwa na kashfa nyingi tu za ufisadi na rushwa kubwa (grand corruption) hatua alizochukua rais Kikwete kama kiongozi wa nchi hazikuwaridhisha wananchi walio wengi wenye uelewa. Zilionekana kama ni mchezo wa kuigiza fulani ambao ulikuwa na lengo la kuwaonyesha wananchi kuwa serikali inashughulikia swala hilo na haukuwa na nia ya kuwaadhibu watu waliofanya makosa hayo.

    1.2) Vivile kitendo cha raisi kuwapigia kampeni wanasiasa ambao walikuwa na kashfa za rushwa na ufisadi zilionyesha kuwa raisi anawatakasa hawa watuhumiwa wa rushwa na ufisadi kwa sababu ambazo wananchi wengi hawazielewi. Raisi kama mwenyekiti wa CCM alitakiwa kusimama imara na kusema mtu yeyote mwenye kashfa ya rushwa asipitishwe kugombea nafasi za udiwani/ubunge kwa tiketi ya CCM mpaka hapo mahakama itakapowasafisha. Hii ingesadia sana kujenga sura (credibility) ya raisi na chama chake.

    Mambo hayo juu yalisababisha wananchi wengi hasa vijana mijini na wasomi waunge mkono vyama vya upinzani ambavyo vilionekana kuendesha mapambano dhidi ya ufisadi na rushwa. Matokeo yake CCM ikapoteza sapoti (support) na mianya ya dini na ukabila ikaanza kujitokeza wakati wa uchaguzi.

    Tanzania ina vyama vya upinzani ambavyo ni makini kwa mfano CHADEMA (kwa mtazamo wangu binafsi) ambavyo vinaweza kuendesha nchi badala ya CCM lakini mazingira yaliyopo Tanzania sasa hivi hayawezeshi vyama kama CHADEMA kushinda uchaguzi na kutawala nchi bila choko choko za kidini na kikabila. Ni rahisi sana kwa watu kutumia dini na ukabila kukiyumbisha kwa kuwa watanzania wengi hawana uelewa wa kutosha kisiasa

    Namalizia kwa kuwakumbusha maneno aliyowahi kusema mwalimu Nyerere“bila CCM madhubuti nchi itayumba" na hayo ndiyo yanayotokea sasa. CCM inatakiwa kuwa na uongozi madhubuti au la sivyo wananchi watakimbilia kwenye vyama vya upinzani kwa kuwa watakuwa hawana pengine pa kukimbilia na hilo likitokea watanzania itabidi wajifunze kuishi kwenye mazingira mapya ambayo mgawanyiko wa dini na kikabila itakuwa sehemu ya maisha yao.
    Mungi ibariki Tanzania
    Mdau,
    Kabul, Afghanistan

    ReplyDelete
  21. Watanzania acheni uzembe wa kufikiri. Walichofanya CHADEMA ni kutuma ujumbe kwa njia ya amani na ya kisiasa. Hakuna sababu ya kupigana ama kuandamana. Hii ni tosha kabisa, hasa kwa serikali ya watu wanaopenda misifa kama hii ya chama changu cha CCM ambacho nakiri kwamba najuta kuingia. Siwezi kutoka kwa sababu itaharibu ulaji na mimi nina wake wawili na watoto nane na nikijaliwa mwngine anakuja Desemba. CHADEMA msikatishwe tamaa; mnajua mnachokifanya. Huu ni ujumbe tosha kabisa na Watanzania wengi wako nyuma yenu. Mwaka 2015 jitahidini zaidi. Mimi ni CCM lakini naogopa kutoka, nitaumizwa.

    Dr. Mood,
    Dar es Salaam.

    ReplyDelete
  22. Hongera raisi Kikwete kwa hotuba ambayo imegusa maeneo mengi muhimu. Raisi anaonekana amehuzunishwa (na mimi pia) na huu mgawanyiko wa kidini unaonekana kutokea kati ya watanzania. Rais Kikwete hana mtu wa kumlaumu kwa huu mgawanyiko isipokuwa yeye mwenyewe kama kiongozi wa CCM na raisi wa nchi

    Kwa kiasi kikubwa huu mgawanyiko wa kidini umechangiwa na mapungufu ya kiuongozi (leadership failures) za raisi Kikwete mwenyewe kama mwenyekiti wa CCM na kiongozi wa nchi. Nasema hivyo kwa sababu zifuatazo

    1) CCM ni chama kinachoundwa na watanzania wa kutoka sehemu zote za nchi na wenye dini na makabila tofauti. Ni chama ambacho kinawaunganisha watanzania wote. Kuwepo kwa CCM inayokubalika na kuungwa mkono na wanachi wote itachangia kwa kiasi kikubwa kuwaunganisha watanzania.

    1.1)Hivi karibuni nchi imekubwa na kashfa nyingi tu za ufisadi na rushwa kubwa (grand corruption) hatua alizochukua rais Kikwete kama kiongozi wa nchi hazikuwaridhisha wananchi walio wengi wenye uelewa. Zilionekana kama ni mchezo wa kuigiza fulani ambao ulikuwa na lengo la kuwaonyesha wananchi kuwa serikali inashughulikia swala hilo na haukuwa na nia ya kuwaadhibu watu waliofanya makosa hayo.

    1.2) Vivile kitendo cha raisi kuwapigia kampeni wanasiasa ambao walikuwa na kashfa za rushwa na ufisadi zilionyesha kuwa raisi anawatakasa hawa watuhumiwa wa rushwa na ufisadi kwa sababu ambazo wananchi wengi hawazielewi. Raisi kama mwenyekiti wa CCM alitakiwa kusimama imara na kusema mtu yeyote mwenye kashfa ya rushwa asipitishwe kugombea nafasi za udiwani/ubunge kwa tiketi ya CCM mpaka hapo mahakama itakapowasafisha. Hii ingesadia sana kujenga sura (credibility) ya raisi na chama chake.

    Mambo hayo juu yalisababisha wananchi wengi hasa vijana mijini na wasomi waunge mkono vyama vya upinzani ambavyo vilionekana kuendesha mapambano dhidi ya ufisadi na rushwa. Matokeo yake CCM ikapoteza sapoti (support) na mianya ya dini na ukabila ikaanza kujitokeza wakati wa uchaguzi.

    Tanzania ina vyama vya upinzani ambavyo ni makini kwa mfano CHADEMA (kwa mtazamo wangu binafsi) ambavyo vinaweza kuendesha nchi badala ya CCM lakini mazingira yaliyopo Tanzania sasa hivi hayawezeshi vyama kama CHADEMA kushinda uchaguzi na kutawala nchi bila choko choko za kidini na kikabila. Ni rahisi sana kwa watu kutumia dini na ukabila kukiyumbisha kwa kuwa watanzania wengi hawana uelewa wa kutosha kisiasa

    Namalizia kwa kuwakumbusha maneno aliyowahi kusema mwalimu Nyerere“bila CCM madhubuti nchi itayumba" na hayo ndiyo yanayotokea sasa. CCM inatakiwa kuwa na uongozi madhubuti au la sivyo wananchi watakimbilia kwenye vyama vya upinzani kwa kuwa watakuwa hawana pengine pa kukimbilia na hilo likitokea watanzania itabidi wajifunze kuishi kwenye mazingira mapya ambayo mgawanyiko wa dini na kikabila itakuwa sehemu ya maisha yao.
    Mungi ibariki Tanzania
    Mdau,
    Kabul, Afghanistan

    ReplyDelete
  23. Walimchukia Mzee Ali H Mwinyi lakini chuki zao ziligonga mwamba. Sasa wenyewe wametahayari. Chuki ni hulka yao. huwezi kutoa chuki kutoka katika nyoyo zao. Ni sehemu yao. Hulka zao nyingine ni matusi, uongo na ukorofi. Yatawashinda for sure. ccm4lifeperamihoboy.

    ReplyDelete
  24. Hongera raisi Kikwete kwa hotuba ambayo imegusa maeneo mengi muhimu. Raisi anaonekana amehuzunishwa (na mimi pia) na huu mgawanyiko wa kidini unaonekana kutokea kati ya watanzania. Rais Kikwete hana mtu wa kumlaumu kwa huu mgawanyiko isipokuwa yeye mwenyewe kama kiongozi wa CCM na raisi wa nchi

    Kwa kiasi kikubwa huu mgawanyiko wa kidini umechangiwa na mapungufu ya kiuongozi (leadership failures) za raisi Kikwete mwenyewe kama mwenyekiti wa CCM na kiongozi wa nchi. Nasema hivyo kwa sababu zifuatazo

    1) CCM ni chama kinachoundwa na watanzania wa kutoka sehemu zote za nchi na wenye dini na makabila tofauti. Ni chama ambacho kinawaunganisha watanzania wote. Kuwepo kwa CCM inayokubalika na kuungwa mkono na wanachi wote itachangia kwa kiasi kikubwa kuwaunganisha watanzania.

    1.1)Hivi karibuni nchi imekubwa na kashfa nyingi tu za ufisadi na rushwa kubwa (grand corruption) hatua alizochukua rais Kikwete kama kiongozi wa nchi hazikuwaridhisha wananchi walio wengi wenye uelewa. Zilionekana kama ni mchezo wa kuigiza fulani ambao ulikuwa na lengo la kuwaonyesha wananchi kuwa serikali inashughulikia swala hilo na haukuwa na nia ya kuwaadhibu watu waliofanya makosa hayo.

    1.2) Vivile kitendo cha raisi kuwapigia kampeni wanasiasa ambao walikuwa na kashfa za rushwa na ufisadi zilionyesha kuwa raisi anawatakasa hawa watuhumiwa wa rushwa na ufisadi kwa sababu ambazo wananchi wengi hawazielewi. Raisi kama mwenyekiti wa CCM alitakiwa kusimama imara na kusema mtu yeyote mwenye kashfa ya rushwa asipitishwe kugombea nafasi za udiwani/ubunge kwa tiketi ya CCM mpaka hapo mahakama itakapowasafisha. Hii ingesadia sana kujenga sura (credibility) ya raisi na chama chake.

    Mambo hayo juu yalisababisha wananchi wengi hasa vijana mijini na wasomi waunge mkono vyama vya upinzani ambavyo vilionekana kuendesha mapambano dhidi ya ufisadi na rushwa. Matokeo yake CCM ikapoteza sapoti (support) na mianya ya dini na ukabila ikaanza kujitokeza wakati wa uchaguzi.

    Tanzania ina vyama vya upinzani ambavyo ni makini kwa mfano CHADEMA (kwa mtazamo wangu binafsi) ambavyo vinaweza kuendesha nchi badala ya CCM lakini mazingira yaliyopo Tanzania sasa hivi hayawezeshi vyama kama CHADEMA kushinda uchaguzi na kutawala nchi bila choko choko za kidini na kikabila. Ni rahisi sana kwa watu kutumia dini na ukabila kukiyumbisha kwa kuwa watanzania wengi hawana uelewa wa kutosha kisiasa

    Namalizia kwa kuwakumbusha maneno aliyowahi kusema mwalimu Nyerere“bila CCM madhubuti nchi itayumba" na hayo ndiyo yanayotokea sasa. CCM inatakiwa kuwa na uongozi madhubuti au la sivyo wananchi watakimbilia kwenye vyama vya upinzani kwa kuwa watakuwa hawana pengine pa kukimbilia na hilo likitokea watanzania itabidi wajifunze kuishi kwenye mazingira mapya ambayo mgawanyiko wa dini na kikabila itakuwa sehemu ya maisha yao.
    Mungi ibariki Tanzania
    Mdau,
    Kabul, Afghanistan

    ReplyDelete
  25. Mdau wa Kabul Afghanistan, kina kakobe walikuwa wanafanya wazi kampeni katika makanisa yao. Ingawa mimi Mkatoliki, sikufurahishwa na hizo kampeni za kidini. Katika wiki tatu za mwisho kila siku nilikuwa natumiwa sms mbili au tatu zikinitaka niwapigie kura slaa na wabunge wa chadema. Kwangu mimi hayo yalikuwa ni matumizi mabaya ya dini yetu. Lazima tuseme ukweli na tuache ushabiki wa kidini. Wa kulaumiwa ni hao walioanza kutumia vibaya dini yetu kwa kujenga chuki dhidi ya watu wa dini nyingine. Nakumbuka kuwa katika posting yako iliyopita ulijaribu kusema eti JK hakufanya kitu katika miundombinu, lakini ukapewa hoja na data za kutosha zinazoonyesha kuwa kati ya 2006 na June 2010, urefu wa barabara zilizojengwa ni zaidi ya zile zilizojengwa kati ya 1996 na 2005. Mchakato wa fikra zako unaitwa "inductive logic", yaani umekwishakuwa na msimamo dhidi ya JK, HALAFU BAADAYE ndiyo unajaribu kutoa "justification" ya hitimisho yako. Nadhani itakuwa vyema ukitumia mantiki ya "deductive logic", yaani, kwanza unapata data na ukweli HALAFU hizo data zinakufikisha katika hitimisho lako. Wakatabahu. Mwanafalsafa.

    ReplyDelete
  26. We unayejiita DR Mood, unaogopa kuumizwa na nani? Mbona mimi leo toka asubuhi nimetoka na shati langu lenye nembo ya CCM na hamna kibaka yeyote aliyethubuta kunifanyia ukorofi? Wewe ni mkyadema, usijitie kuvunga hapa. Sisi si watoto. CCM itaendelea kuwa imara kila kukicha. Chadema mtararuana nyinyi wenyewe. Nawapa 3 years at the most. Kama nccr 1998. Ha ha ha ha ha........

    ReplyDelete
  27. Wtanzania kwa kuiga hatujambo mambo ya UN Mnayaleta hapo chadema . Sasa mbona mtafanya kutokuwa na pesa za missaada watu wananjaa. kwa kweli chadedema hata msipopata position kwenye serikali ya kikwete ana haki yakufanya hivyo

    ReplyDelete
  28. Hiii ni jinsi gani Wabunge wa Chedema wanavyoonyesha uchanga wa siasa na kuto kuwa na maarifa kamili!sasa Wagomee basi na Ubunge ukiwauliza oo kura zimeibiwa kivipi hawana jibu!!!kazi ubinafsi tuu wasusie posho tuwaonee!!WANATAKA KUTUARİBİA NCHİ KWA MANUFAA YAO!!

    ReplyDelete
  29. HOYA WACHUMBA !!NAKUJA HOUSTON THKSGVN PARTY NOV 24TH

    ReplyDelete
  30. Sishangai. mahatma Ghandi alisema "usimwamini mtu aliye tayari kuua ili mradi awe na madaraka". chadema fikirini [for once] KABLA HAMJATENDA.

    ReplyDelete
  31. katika wa bunge wote 239 chadema walipata chini ya viti30 basi hata huo wizi kweli? wakati cuf wana goma znz walikuwa wamepata viti 49 ccm 51 kweli cuf walikuwa na kila sababu ya kuhisi wameibiwa sasa chadema hata 100 hamjapata

    ReplyDelete
  32. Chadema kinachowasumbua ni udini. Nothing else!. Watajifanya kubisha kinafik lakini mzizi wa yote ni ubaguzi wa kubagua watu wa dini nyingine

    ReplyDelete
  33. KAMA WANAUME KWELI, NARUDIA TENA KAMA WAO WANAUME KWELI WASHOKA AU VIDUME VYA MBEGU WASUSIE BUNGE NA VIKAO VYOTE VYA WABUNGE, WAENDE KWENYE MAJIMBO YAO WAKAFANYE KAZI HUKO, WASUBIRI BUNGE LAO LITAKALOZINDULIWA NA RAIS KUTOKA CHADEMA MWAKA 2050.

    NA KAMA WAO WASUSAJI KWELI BASI WASUSE NA POSHO, MARUPURUPU NA MAGARI YA WABUNGE AMA SIVYO NI UNAFIKI NA UZANDIKI WA HALI YA JUU MNASUSA HUKU POSHO, NA RUZUKU KUTOKA KWA JK MNACHUKUA? SUSENI VYOTE TUTAWAONA WA MAANA ZAIDI!

    ReplyDelete
  34. Hata mkususa!

    ReplyDelete
  35. SINA UPENZI NA CHAMA CHOCHOTE TANZANIA, NA SIJUI SABABU YA CHADEMA KUSUSIA HOTUBA, LAKINI NASEMA, NI UAMUZI WA BUSARA SANA KUFANYA HIVYO KWASABABU:-

    1) Kuna nchi zilizoendelea kabisa wanapigana ngumi wakibishana bungeni (angalia youtube, tena hadi Ulaya). Lakini Chadema wametumia uungwana. Na hicho ndicho kinawafanya Wamarekani waendelee kuheshimiana bila kumwaga damu baima ya vyama sababu huwa wanakubali kutofautiana kwa amani.

    2) Nyie mnaosema Chadema wajinga, mnakosa ukweli wa kwamba kila chama kina misimamo juu ya mambo fulani makubwa yanayoathiri mtazamo wao. Si lazima kukubaliana kila kitu na CCM. Kutoka nje hakumfanyi Mbunge yeyote kukosa hadi ya uwakilishi, ilimradi kutoka kwake kunaleta hisia na ujumbe kwa jamii. Mliosoma lugha, watu hatuwasilishi ujumbe kwa maneno tu. Kuna vitendo pia, ambavyo Chadema wamevitumia, na si vya kumwaga damu.

    3) Wewe uliyesema wakiingia msituni wasithubutu kwa maana ya kuwatisha. Naungana nawe, si uamuzi mzuri kumwaga damu. Lakini kumbuka Watanzania wakipigana hata kama jeshi litatumika kuwatuliza chadema, wana-ccm watakufa pia, na wengi wao ni ndugu zangu, rafiki zangu bila kujali itikadi. Usihamasishe au kutishia watu kama watoto wadogo. Tuheshimu mawazo ya watu wanaotofautiana nasi.

    4) Tanzania bado hatuna uzoefu wa vyama vingi. Nchi ambazo zimekuwa na mfumokama huo, hicho walichofanya CHADEMA ni cha kawaida kabisa, tena kinaheshimiwa sababu hakivunji amani, hakifani wabunge waliobaki ndani ya nyumba kukosa uwakilishi na kuendesha mjadala wowote ule.

    5) CCM msipojua kuheshimu au kukubali kuto-kukubaliana, itatugharimu Watanzania.

    NAWASILISHA,
    Mdau, USA

    ReplyDelete
  36. Maoni tukitoa Michuzi anachakachua!! CCM mtatukana mpaka mchoke. Wee mdau unayesema chadema wadini unamatatizo. Nyinyi ndiyo wenye udini serikali yote ni dini moja. Wakati wa Nyerere walikuwa wanachanganya viongozi wakuu kutoka dini mbalimbali lakini kwa JK. Dini moja tu.

    ReplyDelete
  37. Michuzi, wadau wengine wanashangaza sana. sioni sababu ya kuwaponda wabunge wa CHADEMA. kitu walichokifanya ni ishara ya kukomaa kwa democrasia, ni ishara kwamba wananchi hawawezi kuburuzwa tu, Tunapaswa kuwapongeza hawa jamaa kwa ukomavu wa wao.

    Michuzi Raisi alisema kwamba tuondoe udini, na wadau hapo juu wamesema chadema ni chama cha kidini. sijawahi kuwasikia Chadema wakisema kuwa watawafavour watu wa dini fulani hata siku moja. ikumbukwe kwamba Kikwete alivyoingia madarakani 2005 maaskofu walisema yeye ni chaguo la Mungu, leo maaskofu wanasema watanzania wamchague kiongozi mcha mungu, CCM wanasema ohh walitaka watu wamchague Slaa so ni udini. kwani CUF ilikuwaje kipindi kile? si CCM walisema pia ni chama cha kidini?

    Watanzania Tushukuru kupata wabunge wasiogopa vivuli vya walio madarakani. Mmeshuhudia kanuni za bunge zilivyokiukwa? ni wabunge wa chadema Mnyika, Tundu Lissu na Zitto Kabwe ndio walisimama kukemea hilo. tunahitaji bunge la namna hii, sio bunge la kupitisha tuuu.

    wamemtoa Sitta kwenye uspika makusudi tena bila heshima, lakini wanazuoni na wapembuzi tunajua ni kwa sababu ya misimamo yake dhidi ya hao vingunge wa CCM. Watanzania wote tulikuwa tunajua Sitta alikuwa anapinga 'ufisadi' sasa kumtoa maana yake ni kwamba CCM inakumbatia 'ufisadi'.

    Michuzi kiukweli kabisa, watu wanaotaka CCM iendelee wamegawanyika kwenye makundi haya.
    1. Wana personal interest, either wana biashara na CCM, wanapewa kazi na wazee wa CCM (kama wewe michuzi).
    2. wanafamilia ya watu walio karibu na CCM
    3. WAJINGA, hawa ni wale wanaofikiria CCM ikiondoka madarakani Tanzania inaisha, kutakuwa na vita. na wengine ni wanaofikia CCM ndio Tanzania. hawa ni wajinga tu wakielimishwa watapata akili.

    Mdau wa Dar hapa hapa

    ReplyDelete
  38. ......Haya mambo ni mageni kwa wengi, hata kwa watu unaotegemea kuwa ni waelewa kama ANKAL! mbona ipo BUDGET ilisusiwa na wapinzani na walitoka nje ya BUNGE, je mmesahau!? jambo lililoigharimu serikali ya JK kuwapa Mawaziri posho kuzunguka nchi nzima kutolea ufafanuzi.......walichoambulia.......KUZOMEWA NA WANANCHI!! pamoja na comments kuwa bias, lakini kitaeleweka tu. CUF ilishutumiwa kwa UDINI, UKABILA na KUVUNJA MUUNGANO......leo kika wapi??

    ReplyDelete
  39. PONGEZI:
    1) Napenda kumpongeza Raisi Jakaya Mrisho Kikwete kwa hotuba nzuri aliyoitoa Bungeni.Mambo yote aliyoyasema ni ya msingi kabisa na yameleta matumaini mapya kwa wananchi wote.Masuala hayo yote yaliyozungumzwa yakafanyiwe kazi na hisije ikawa hadithi za kisiasa.

    2) Napenda kuwapongeza Chadema kwa kutumia haki yao ya kimsingi ya kutokubaliana kukubaliana na kasoro zilizojitokeza kabla na baada ya uchaguzi.

    3)Napenda kuwapongeza wote mlionitangulia kusisitiza kuwa amani na ulivu wa nchi yetu ni jambo la msingi la kujivunia, kulindwa na kuthaminiwa.

    ANGALIZO:

    1)Raisi wetu na viongozi wetu wa ngazi za juu....wakae chini mapema wazishughulikie na kutoa tamko juu ya kasoro zilizojitokeza kabla na baada ya uchaguzi na kutoa suluhu ya namna ya kujirekebisha tatizo hilo lisije kujirudia. Tukipuuzia hizi kasoro, tutaleta machafuko na kuigawa nchi.

    2)Chadema watambue kuwa mbegu wanayojaribu kuipanda ni nzuri kwa upande mmoja kwa maana ya kuwa kama kuna tatizo au kasoro fulani mahala fulani lazima zishughulikiwe na si kupuuziwa. Lakini pia mbegu hiyo hiyo hisutumike vibaya kuwaitia munkari vijana wa leo na kesho kushikiana mapanga.Tutabomoa badala ya kuijenga nchi yetu.

    HITIMISHO:

    Uvunjifu wa amani, Vita, Malumbano, Migogoro,Minongo'no,Kuaibishana na yote yanaofanana na hayo ni mambo yanayorudisha nyuma maendeleo ya mtu na taifa kwa ujumla.

    Tufanye kila linalowezekana kuepeka katika mtego huo.

    Viongoze wetu onyesheni busara na hekima kuhakisha mambo hayo yanapatawa dawa mapema.

    Mungu ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.

    ReplyDelete
  40. We anon wa 01:03:00 AM, wacha uongo wako. Hebu tazama orodha ya serikali ya kipindi cha kwanza cha Mh JK; 60% ya mawaziri ni wakristo. 68% ya manaibu waziri ni wakristo; 78% ya makatibu wakuu ni wakristo. 57% ya wakuu wa mikoa ni wakristo; 55% ya wakuu wa wilaya ni wakristo. Sasa wewe utasemaje kuwa serikali nzima ni waislamu? Huo uongo wako unadhihirisha wazi kabisa kuwa wewe una chuki mbaya sana dhidi ya JK, but God will punish you for your hatred and lies! [Amen] Chadema ni watukanaji wakubwa. Sijui uko wapi we lakini tangu mwanzo mpaka mwisho wa kampeni zana kuu za chadema zilikuwa matusi, uongo na chuki na ndio maana chadema mmeshindwa vibaya sana na mtazidi kuporomoka!!!!
    Ngulumbalyo mandai Mmatumbi.

    ReplyDelete
  41. Chadema hiyo si demokrasia, huo ni ujinga tu.

    ReplyDelete
  42. Chadema muflisi.

    ReplyDelete
  43. HAWANA LOLOTE HAO CHADEMA ZAIDI YA USHIRIKINA TU. HAWAMTAMBUI JK KUWA RAIS KWA SABABU sheikh yahaya kawaambia hakuna uchaguzi mwaka huu sasa huyo rais watamtambuaje? NDIO MAANA UNAWAONA WANATAKA UCHAGUZI MWINGINE!!

    Sikujua kuwa wanaamini utabiri kiasi hiki mpaka wanakataa matokeo ya uchaguzi! lol!! No I mean mpaka hawaamini kuwa uchaguzi umefanyika!

    ReplyDelete
  44. Hawaa jamaa ni ahatri sanaaa,sasa mbona hawajavaa yale magwanda yaoo bungeni!!!walikuwa wanayavaa kwanini!!kwani nchi yetu inavitaaa!!!Na sasa mnajidai kutoka bungeni kwa kufuata mkumbo its real nonsense !!

    ReplyDelete
  45. hawa jamaa njaa tupu wametumwa na wakereketwa wao kuwa wakilisha wana toka njee sasa na pa day wanapata kama sio wizi kitu gani hicho ina bidi siku hio wakatwe malipo yao ya siku yule jamaa Freeman kaoensha rangi yake na dawa yake ipo jikoni hao chadema mimi nakuja gombe pia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...