Kama tunavyojua mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi. Vimbwanga na vionjo vya uchaguzi havikuanza katika zoezi la kupiga kura, bali pia vilianza hata wakati wa kura za maoni.
Miongoni kwa wagombea wa vijana waliojitokeza kugombania nafasi ya uwakilishi wa wananchi Bungeni alikuwa ni Hussein Bashe, ambaye alikuwa na nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Nzega kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kama tunavyoelewa,Hussein hakupitishwa kugombea nafasi hiyo kwa sababu ya madai ya kutokuwa raia wa Tanzania.

Radio Mbao kupitia Kombolela Show itakuwa na mahojiano na Hussein Bashe kujua yaliyojiri kwenye mchakato wa kuteua wagombea wa ubunge, mipango yake siku za usoni, mtazamo wake juu ya mustakhabali wa taifa la Tanzania na mengine mengi.

Jiunge nasi kwa kupitia hapa:
ili usikose uhondo!

Utawala
Radio Mbao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Who is he mpaka niache shughuli zangu nimsikilize?

    Basi mkawahoji na wengine wote waliotemwa kwenye kura za maoni na walioshindwa uchaguzi.

    People!! Uchaguzi ushaisha tafuteni topic nyingine tunahitaji maendeleo sio kila siku vijiweni!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...