FAMILIA YA MAREHEMU MZEE DYSON A. BUKUKU WA MBEZI BEACH KILONGAWIMA NA KIJIJI CHA IKUTI, RUNGWE, TUKUYU MBEYA,
LEO TUNAKUMBUKA SIKU AMBAYO BABA YETU MPENDWA MZEE DYSON A. BUKUKU ALIPOITWA NA MUNGU TAREHE 13 NOVEMBER 2009.
LEO HII BABA YETU AMETIMIZA MWAKA MMOJA.

PIA TUNAPENDA KUWASHUKURU WATU WOTE WALIOSHIRIKIANA NASI KATIKA KIPINDI CHA MSIBA WA BABA YETU.
LEO, JUMAMOSI TAREHE 13 NOVEMBER 2010 TUNAPENDA KUWAKARIBISHA NYUMBANI KWETU MBEZI BEACH, MTAA WA KILONGAWIMA
KWA AJILI YA KUMBUKUMBU YA MKESHA NA KESHO TUTAAMKIA KWENDA KANISANI KWA AJILI YA IBADA MAALUMU.

BABA UNAKUMBUKWA NA MKEO MRS CAROLINE BUKUKU, WATOTO ZAKO ANDREW BUKUKU, PAMELA BUKUKU, SAMUEL BUKUKU LUBAGA,
DEBORAH BUKUKU, ALBERT BUKUKU, HELBERT BUKUKU (Ment).
PIA BABA YETU UNAKUMBUWA NA WAKWE ZAKO, DR ALBERT ULIMALI, MERCY MAKAME NA JACQULINE MADATTA,
NA WAJUKUU ZAKO FIONA, IVAN NA CAROLINE.

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA,
JINA LA BWANA LIHIDIMIWE.
AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...