Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Nilichoona hapo ni kutangaza vitu vya mkoloni tu, ningewaheshimu kama mavazi na mikogo ni orijinal ya kikongo.. lakini hapo ni utumwa tu wa kifaransa.

    ReplyDelete
  2. Maskini hata hawajitambui! Wanahitaji msaada wa haraka. Maana ulimbukeni unaoonyeshwa hapa huwezi amini ni watu wazima lakini hovyo. Ibada za pombe tumbako na mavazi ndicho chanzo kikuu cha maagamizi ya taifa hili tajiri duniani kwa raslimali lakini maskini wa kunuka wa watu.

    ReplyDelete
  3. waache waendelee kuvaa hiyo mitumba na kuishi maisha ya kusadikika huku wakicheza ndombolo,nchi yao wameisahau mpaka jirani zao wanyarwanda wanawasaidia kuongoza na kuchota vilevile.

    ReplyDelete
  4. Safi sana Michuzi kwa lumba ya nguvu. Watu wako happy kivyao vyao na life goes on. Viva la congolese musicale

    ReplyDelete
  5. Nakumbuka kambi za wakimbizi kule Kigoma: hawa wanafanana na wale wa Lugufu refugee camp, nasikia sasa wamehamia nyarugusu camp. Ni balaaa! wanajua kujipamba tu!

    ReplyDelete
  6. asante sana michuzi kwa hii kiburudisho. wakongo wamekuwa na leaders wabaya lakini ni very classy japokuwa ni maskini. hao sepo kwenye hii vidio nina watolea kofia. huo musiki ni mzuri sana. hii inaonesha kwamba hata kama you are poor you can still enyoy yourself.

    ReplyDelete
  7. Hivi nyinyi mna habari kwamba hawa jamaa ni wanamuziki? Their main purpose is to entertain. To entertain damn it! Not to make social or political commentary. Sasa hivi comments zenu zenye political slant zinarelevance gani hapa? Watu wengine bwana. Chukuwa dakika mbili za kutafakari kabla ya kuropoka.

    ReplyDelete
  8. ha ha haaaaaa! hawa ndio wazee wa pamba wa congo? teh teh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...