Mohammed Madenge na Hassan Madenge
Tunasikitika kutangaza kifo cha kaka yetu mkubwa
Mpendwa mzee muhunzi Ali madenge
(pichani) kilichotokea ghafla Mkuranga jana saa 12.30 jioni
Mazishi leo saa saba mchana Mkuranga njia panda ya Kisiju.
Habari ziwafikie ndugu wote marafiki zangu wa Jeddah al Gassim al Jouf, Riyadh, Taif ..Europe Asia .America, na kote Dunia.
Hakika kwake ni marejeo yetu sote.
Hassan Madenge +255717166061
Mohammed madenge +255755942355

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Innalillah Wainna Illaihi Rajiuun!

    ReplyDelete
  2. Innalillah Wainnaillaihi Rajiuun, poleni wafiwa na Allah awape moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu cha majonzi!

    ReplyDelete
  3. Mwenyezi Mungu aiweke roho yako mahali pema.

    ReplyDelete
  4. WHAT A BEAUTIFUL SMILE, IT IS SAD TO SEE IT GONE. R.I.P.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...