Tunasikitika kutangaza kifo cha kaka yetu mkubwa
Mpendwa mzee muhunzi Ali madenge
(pichani) kilichotokea ghafla Mkuranga jana saa 12.30 jioni
Mazishi leo saa saba mchana Mkuranga njia panda ya Kisiju.
Mpendwa mzee muhunzi Ali madenge
(pichani) kilichotokea ghafla Mkuranga jana saa 12.30 jioni
Mazishi leo saa saba mchana Mkuranga njia panda ya Kisiju.
Habari ziwafikie ndugu wote marafiki zangu wa Jeddah al Gassim al Jouf, Riyadh, Taif ..Europe Asia .America, na kote Dunia.
Hakika kwake ni marejeo yetu sote.
Hassan Madenge +255717166061
Mohammed madenge +255755942355
Hassan Madenge +255717166061
Mohammed madenge +255755942355
Innalillah Wainna Illaihi Rajiuun!
ReplyDeleteInnalillah Wainnaillaihi Rajiuun, poleni wafiwa na Allah awape moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu cha majonzi!
ReplyDeleteMwenyezi Mungu aiweke roho yako mahali pema.
ReplyDeleteWHAT A BEAUTIFUL SMILE, IT IS SAD TO SEE IT GONE. R.I.P.
ReplyDelete