Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba, Oliva Mhaiki akikata utepe ikiwa ni ishara ya kukabidhi magari 15 yenye thamani ya sh. milioni 580 yaliyotolewa na Programu ya Maboresho ya Sekta ya Sheria kwa Jeshi la Polisi Dar es Salaam jana. Magari hayo yatasaidia kuboresha mfumo wa upelelezi nchini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hatuwafundishi ila tafadhalini magari yatumike inavyotakiwa sio yaende sokoni hospital harusini no
    huko sio kuwajibika kwake.
    lindeni nchi usalama ni mdogo sana
    hasa jiji la dar matukio mengi
    magari yatasaidia sana ulinzi hayo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...