Mmoja wa wasanii chipukizi wa mbeya akikonga nyoyo za watu katika tamasha la mtikisiko lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mtangazaji na mratibu wa Tamasha toka Ebony Fm, Eddo Bashiri akiwasisimua wakazi wa mbeya wakati wa Tamasha la mtkisiko lili fanyika uwanja wa Sokoine Mbeya na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Kikundi cha black ninja kikionyesha umahili wao wa kareti kwenye tamasha la mtikisiko lilifanyika uwanja wa Sokoine Mbeya na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. wasanii acheni unafiki. mbona wakati sugu anapiga kampeni mbeya mliiona kama jela.

    ReplyDelete
  2. Michuzi acha kashfa , eti tamasha limefana wakati watazamaji ni 'ishirini' hapo ni hasara kwa kwenda mbele. Sijapata ona hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...