baadhi ya ma Model wakipita jukwaani kuonyesha mavazi yaliyobuniwa na Mwanamitindo Khadija Mwanamboka katika tamasha la Swahili Fashion Week lililomazizika usiku huu katika viwanja vya Karimjee,jini Dar.
Baadhi ya Mamodel wakipita na mavazi yaliyobuniwa na Mpho Kuaho kutoka nchini Botswana.
Model bora katika tamasha la Swahili Fashion Week,Ally Hassan akipita jukwaani kwa madaha kabisa mara baada ya kutangazwa mshindi.kulia ni MC wa shughuli nzima ya Swahili Fashion Week,Abby.
Ankal akiwa na Boss Mkuu wa TBC,Bw. Tido Mhando (kulia),Mdau wa Ughaibuni (mwenye tai) akiambatana na bintie,pamoja na Ankal Othman Michuzi Jnr (waweza mtembelea katika libeneke lake kwa kubofya hapa) mara baada ya kumalizika kwa tamasha la Swahili Fashion Week usiku huu.
Ankal akiwa na wapiganaji,Shoto ni Raqey na kulia ni Moaz Hussein.
Ankal akila konozz na Mwanamitindo Khadija Mwanamboka (shoto) na Blogger Shamim Mwasha 'Zeze'
baadhi ya wadau wa urembo walipata taswirazz ya pamoja usiku huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Dah bola uchaguzi umeisha maana wengine ulikua unatuboa tu,,sasa tupe raha za ukweli

    ReplyDelete
  2. SWAHILI FASHION WEEK
    Kwa ufafanuzi zaidi wa picha ya pamoja ni ankel Michuzi,Michuzi Jr,Mickey Jones Amos,Chichia-mwana mitindo,mzee Tiddo boss wa TBC

    ReplyDelete
  3. Duh!
    Mickey Jones haupitwi?

    ReplyDelete
  4. Wewe hapo kwanza unayeboreka ulikuwa unatafuta nini huku? Ungesubiria uchaguzi uishe ndiyo uje huku.
    Mzee wa konos, umeliweka penyewe hasa! Kitu inalipa mno father

    ReplyDelete
  5. MAC S, Umemwona ANKAL akiwa ndani ya suti, unajua mnafanana sana, nathani akija mby mtafute,mchome nae nyama kidogo au?

    mzee wa mkololo.

    ReplyDelete
  6. Soooo Gayyy!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...