UMOJA WA WANAFUNZI WA KITANZANIA
HYDERABAD-INDIA
(TSAH)
Uchanguzi wa Viongozi
Tarehe 7/11/2010

Tunapenda kuwataarifu wanafunzi wote wa Kitanzania, wanaosoma katika vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za kitaaluma hapa Hyderabad India, kuwa ule Mkutano Mkuu wa uchaguzi wa viongozi wa Umoja Utafanyika katika tarehe iliyotajwa hapo juu katika ukumbi wa Community Hall, hmt bearings, Sainikpuri kuanzia saa saba mchana.
Uchaguzi utasindikizwa na burudani murua toka kwa Watanzania wenye vipaji katika Muziki na Komedi.

Wagombea wetu ni :

MWENYEKITI
1. Mathias jackson
2. Humphrey Damas

KATIBU
1. John Gagah

KATIBU MWENEZI
2. Flaviana Chacha
3. Frank Felix

Mnakumbushwa kuzingatia muda

Tabagi, A
Mwenyekiti, Kamati ya uchaguzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. sasa mbona mweka hazina hayupo..au mshabadilisha katiba..kuweni makini kama wasomi mtaendeshaje association kama hii bila kuwa na mapato na matumizi chini ya mweka hazina!!

    ReplyDelete
  2. wapi makamu mwenyekiti...wapi mweka hazina..mbona nafasi ya katibu ni mmoja...wewe mtu mzima tabagi inakuwaje bwana...unatutia mashaka hata hapa bongo...usivuruge wanafunzi huko bwana!!

    ReplyDelete
  3. wadau wa tsah musiwe na wasi wasi kila kitu kimezingatia katiba na kila kitu kiko poa kabisa hilo jina la mweka hazina lilichelewa kidogo kutokana na huyo mgombea kuwa nje ya state na atukutaka kumchakachua na kumkosea haki yake ya kidemokrasia ya kuchagulia so j2 naye pia atakuwepo kushindana na wenzake, kamati ya uchaguzi inaomba samahani kwa usumbufu uliojitokeza
    kutoka kwa kamati ya uchaguzi

    ReplyDelete
  4. Ah! Gagah, kichwa cha Moshi Tech enzi zile naona mepita bila kupingwa..lol!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...