Yanga wakifurahia bao lao la kwanza dhidi ya Toto Africa ya Mwanza katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili. Yanga ilishinda 2-0 katika mchezo huo wa kuhitimisha mzunguko wa kwanza ulioisha jana. Ligi itaanza mzunguko wa pili Januari.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Nsa Job (kulia) akijaribu kumiliki mpira mbele ya mabeki wa timu ya Toto African katika mchezo ulifanyika Jumapili uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Katikati ni Philimon Mwandasile , akifuatiwa na Laban Kambole wa timu hiyo ya Toto,

Mfadhili mkuu wa Yanga Bw. Yusuf Manji alikuwepo kushuhudia mtanange huo
Benchi la Toto Africa.
Picha zote na John Nditi wa Globu ya Jamii,
Mji kasoro bahari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ndugu wanapokutana ni kiasi cha kukubaliana ili mwenye faida na ushindi afaidike zaidi, angalieni benchi la ufundi kama kuna tofauti!!!

    ReplyDelete
  2. Nilisikia mnyama anacheza jana hebu tupe matokeo yake nasi tujue yanayojiri ligi za nyumbani si kuweka picha za Yanga kwa kuwa Mzee alienda kiwanjani.

    ZAU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...