Andrew na Bupe wakifurahi baada ya kumeremeta katika kanisa la Mtakatifu Immaculata Upanga jijini Dar na baadaye kwenye mnuso wa nguvu Karimjee hall
Bwana harusi akiktesti Jabulani alililopewa kama zawadi na wanachama wenzie wa klabu ya michezo ya Sugar Rays ambako kwenye timu yeye hupigaga namba mkhagha

Tupeni maelezo mbona bibi harusi wetu kabebeshwa mpira?
ReplyDeleteSugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays!
ReplyDeleteTafuteni jina lenu!
inaonekana huo ukumbi joto kibao...naona maharusi wako bize kujifuta jasho.
ReplyDeleteduh bongo joto jamani makaka shurti kujipangusa nyuso zao.ingependeza kama mgevaa linen suits jamani wool na poliester no good for dec in the heat like TZ.lol
ReplyDeleteSafi sana, Tz ina vijana wanguvu. Kuna walioko single hapo? Im looking 4 a husband.
ReplyDeleteyes andrew
ReplyDeletehongera saaaaaaaaaaaaaana
class mate wako Olympio
mgogo boy
Wengi wao ni Married Single
ReplyDeletemichuzi suti yako ina-kiyoyozi ndani nini. Maana naona kila mtu sweat ile mbaya xcept weye. Ungepiga ile ZEFULANA tuu...Ila tatizo letu wabongo ni mabingwa wa RIVAS...tunaiga mavazi hata kama hali ya hewa hairuhusu. Huko majuu wakati kama huu watu wanavaa makoti na maviatu marefu. wakati wa kiangazi light cloths. Hapa sisi inyeshe, iwe baridi, nk hatufuati hilo kabisa....
ReplyDeleteBilungo!
ReplyDeleteHongera sana!
Duuh, mwenyewe nimekoma kanisa tulilopatia kommunio ya kwanza na ndiyo hilo hilo ukafungia ndoa!? Halafu kwenye kamati baadhi yao ni washikaji wa tangu utotoni! Babu kubwa!
Hongera tena!
Ni mimi
Classmate wako Olympio.
PS/ Nabeel Nassa vipi? Tuwasiliane.