Andrew na Bupe wakifurahi baada ya kumeremeta katika kanisa la Mtakatifu Immaculata Upanga jijini Dar na baadaye kwenye mnuso wa nguvu Karimjee hall
Bwana harusi akiktesti Jabulani alililopewa kama zawadi na wanachama wenzie wa klabu ya michezo ya Sugar Rays ambako kwenye timu yeye hupigaga namba mkhagha
Mwenyekiti wa Sugar Rays Sports Club Bw. Swai akitoa nasaha kwa niaba ya klabu
Sugar Rays wakiwa na maharusi
Baadhi ya mabesti wa karibu mno na bwana harusi

Mabesti zaidi wa bwana harusi na bibi harusi
memba wa Sugar Rays

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Tupeni maelezo mbona bibi harusi wetu kabebeshwa mpira?

    ReplyDelete
  2. Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays, Sugar Rays!

    Tafuteni jina lenu!

    ReplyDelete
  3. inaonekana huo ukumbi joto kibao...naona maharusi wako bize kujifuta jasho.

    ReplyDelete
  4. duh bongo joto jamani makaka shurti kujipangusa nyuso zao.ingependeza kama mgevaa linen suits jamani wool na poliester no good for dec in the heat like TZ.lol

    ReplyDelete
  5. Safi sana, Tz ina vijana wanguvu. Kuna walioko single hapo? Im looking 4 a husband.

    ReplyDelete
  6. yes andrew
    hongera saaaaaaaaaaaaaana
    class mate wako Olympio
    mgogo boy

    ReplyDelete
  7. Wengi wao ni Married Single

    ReplyDelete
  8. michuzi suti yako ina-kiyoyozi ndani nini. Maana naona kila mtu sweat ile mbaya xcept weye. Ungepiga ile ZEFULANA tuu...Ila tatizo letu wabongo ni mabingwa wa RIVAS...tunaiga mavazi hata kama hali ya hewa hairuhusu. Huko majuu wakati kama huu watu wanavaa makoti na maviatu marefu. wakati wa kiangazi light cloths. Hapa sisi inyeshe, iwe baridi, nk hatufuati hilo kabisa....

    ReplyDelete
  9. Bilungo!

    Hongera sana!

    Duuh, mwenyewe nimekoma kanisa tulilopatia kommunio ya kwanza na ndiyo hilo hilo ukafungia ndoa!? Halafu kwenye kamati baadhi yao ni washikaji wa tangu utotoni! Babu kubwa!

    Hongera tena!

    Ni mimi

    Classmate wako Olympio.

    PS/ Nabeel Nassa vipi? Tuwasiliane.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...